Yupi huyo jaman yuko wasafi?Mkuu ndo humjui Dimpoz
😂😂😂Ndo nani huyo??
Kwani nje ya mziki jamaa anafanya mishe gani inayomuingizia pesa?Hana njaa na muziki ulimuona anahangaika kufanya Promo?
MwaikimbaKwani nje ya mziki jamaa anafanya mishe gani inayomuingizia pesa?
Ebu fafanuaMwaikimba
Hahaaaa mkuu sio poa. Kuna mtu nliona mahali alisema ni mwajiriwa gsmMwaikimba
Duh!Mke wa Salah wa GSM
Acha udhalilishaji usiokuwa na ushahidiMke wa Salah wa GSM