Kwanini Wimbo "Umeniweza" wa Ommy Dimpozi umefeli japo ni mzuri sana

Kwanini Wimbo "Umeniweza" wa Ommy Dimpozi umefeli japo ni mzuri sana

Ommy lazima ukweli usemwe ukali wa kuimba ulipungua alipopata kansa ya koo na kufanyiwa operesheni. Limebaki jina na connection tuu.

Wapo vijana wana imba kama belle 9, vanny boi, linex lakini wanakosa utulivu na wasanii wetu wanasahau kwamba soko kubwa huanzia nyumbani Tanzania na wao suala la mashairi mazuri wamelitupa jalalani sio wote watakaoimba matusi wata hit kama kina diamond.

Mfano rapper Nasty C nyimbo zake nyingi zina mashairi yanayoeleweka na ana hit, angalia global hit song ya Jerusalema ina bonge moja la ujumbe sio kata chini binua ifinyie ndani nonsense
 
Hakuna aliyeshindana na yule jamaa akashinda vita kuanzia bongo mpaka nje ya nchi.
 
Ule wimbo wa ommydimpoz Kuna logo ya GSM katazame kwa makini.Kigogo kigogo alisema ni mke wa nanii.Nilivyocheki video ya ommydimpoz na kuona logo ya GSM nikajua ni akina Noel kwa Dangote wa dar to Lagos.
 
Back
Top Bottom