Ommy lazima ukweli usemwe ukali wa kuimba ulipungua alipopata kansa ya koo na kufanyiwa operesheni. Limebaki jina na connection tuu.
Wapo vijana wana imba kama belle 9, vanny boi, linex lakini wanakosa utulivu na wasanii wetu wanasahau kwamba soko kubwa huanzia nyumbani Tanzania na wao suala la mashairi mazuri wamelitupa jalalani sio wote watakaoimba matusi wata hit kama kina diamond.
Mfano rapper Nasty C nyimbo zake nyingi zina mashairi yanayoeleweka na ana hit, angalia global hit song ya Jerusalema ina bonge moja la ujumbe sio kata chini binua ifinyie ndani nonsense