Kwanini wimbo wa Hamisa Mobetto hauchezwi kwenye redio station mbalimbali nchini?

Ma DJ na Radio Presenter inatakiwa wasujudiwe na Di dada kama hizo issue haziusudu ndio maana wameweka "KAPOOON".
 
We si umeusikiliza,,,tupe mashairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@_esmaplatnumz: Dada bora ukae kimya alafu unapata Zambi kumshilikisha Mwenyezi Mungu ktk swala km hili kuongopa vitu mbona sie wenyewe tupo Kimya au ndio mnatapatapa embu mjitulize jamani hata MUNGU HAPENDI kwani ye ndio Muamuzi plz naomba msinitungie uongo wa kijinga jinga mlichokifanya wenyewe mnakijua na nafsi zinawasuta sipendi kuniingiza ktk uongo wa kijinga msijisafishe kutaka kuchafua watu. Huyo huyo mama mnaotaka awapende kutwa mnachamba na kumtungia uongo naombeni mkitaka kuweka uongo wenu bora mniweke mimi sio mamaangu. MLICHOFANYA MNAKIJUA #temporarypost πŸ™Œ #mfaMajiHamuishiKutapatapa #Katika MAISHA ni vema kukaa kimya pindi ukikosea na hasa ukijua wazi kuwa nimekosea ila ukijaribu kufuta au kusawazisha kosa kupitia njia za wasiogusa maisha yako ujue kosa linazaa kosa...Ungetulia maana watu wameshiba vielelezo na ushahidi 100%
 
wanaume tulieni jamani,Diamond ona ulipojitumbukiza masikini
 
Hapa hamisa kazidi kuharibu,, sijui kwann anapenda waganga
 
Kingine cha kujiuliza kwann anapenda attention na kumtumia mange kama mtetezi wake?akumbuke hata wema alishapitia njia hizo hizo mwisho wa siku huyo aliyekua mstari wa kwanza kumtetea ndo saiv anayemchafua vibaya
Hapa hamisa kazidi kuharibu,, sijui kwann anapenda waganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…