Kwanini wimbo wa Hamisa Mobetto hauchezwi kwenye redio station mbalimbali nchini?

Kwanini wimbo wa Hamisa Mobetto hauchezwi kwenye redio station mbalimbali nchini?

2.jpg
 
Ma DJ na Radio Presenter inatakiwa wasujudiwe na Di dada kama hizo issue haziusudu ndio maana wameweka "KAPOOON".
 
Baada ya mwanamitindo Hamissa Mobetto kuachia wimbo wake uitwao madam hero nimejaribu kufuatilia kwenye redio station mbalimbali sijasikia hata moja inayoucheza wimbo huo.

Hii ni ishara mbaya sana kwa mwanadada huyu ni kama media zimemtenga najua wengine watasema labda hajapeleka wimbo wake kwenye redio station husika jambo ambalo kwangu siyo sababu ya msingi. Kuna wasanii Maarufu wengi ambao nyimbo zao hawazisambazi kwenye media zote lakini media husika still zinaplay nyimbo husika.
Media za bongo acheni dharau ohoo

Sent using Jamii Forums mobile app
We si umeusikiliza,,,tupe mashairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@_esmaplatnumz: Dada bora ukae kimya alafu unapata Zambi kumshilikisha Mwenyezi Mungu ktk swala km hili kuongopa vitu mbona sie wenyewe tupo Kimya au ndio mnatapatapa embu mjitulize jamani hata MUNGU HAPENDI kwani ye ndio Muamuzi plz naomba msinitungie uongo wa kijinga jinga mlichokifanya wenyewe mnakijua na nafsi zinawasuta sipendi kuniingiza ktk uongo wa kijinga msijisafishe kutaka kuchafua watu. Huyo huyo mama mnaotaka awapende kutwa mnachamba na kumtungia uongo naombeni mkitaka kuweka uongo wenu bora mniweke mimi sio mamaangu. MLICHOFANYA MNAKIJUA #temporarypost 🙌 #mfaMajiHamuishiKutapatapa #Katika MAISHA ni vema kukaa kimya pindi ukikosea na hasa ukijua wazi kuwa nimekosea ila ukijaribu kufuta au kusawazisha kosa kupitia njia za wasiogusa maisha yako ujue kosa linazaa kosa...Ungetulia maana watu wameshiba vielelezo na ushahidi 100%
39486089_296742847774805_5303546404466065408_n.jpg
 
wanaume tulieni jamani,Diamond ona ulipojitumbukiza masikini
 
@_esmaplatnumz: Dada bora ukae kimya alafu unapata Zambi kumshilikisha Mwenyezi Mungu ktk swala km hili kuongopa vitu mbona sie wenyewe tupo Kimya au ndio mnatapatapa embu mjitulize jamani hata MUNGU HAPENDI kwani ye ndio Muamuzi plz naomba msinitungie uongo wa kijinga jinga mlichokifanya wenyewe mnakijua na nafsi zinawasuta sipendi kuniingiza ktk uongo wa kijinga msijisafishe kutaka kuchafua watu. Huyo huyo mama mnaotaka awapende kutwa mnachamba na kumtungia uongo naombeni mkitaka kuweka uongo wenu bora mniweke mimi sio mamaangu. MLICHOFANYA MNAKIJUA #temporarypost 🙌 #mfaMajiHamuishiKutapatapa #Katika MAISHA ni vema kukaa kimya pindi ukikosea na hasa ukijua wazi kuwa nimekosea ila ukijaribu kufuta au kusawazisha kosa kupitia njia za wasiogusa maisha yako ujue kosa linazaa kosa...Ungetulia maana watu wameshiba vielelezo na ushahidi 100%View attachment 853329
Hapa hamisa kazidi kuharibu,, sijui kwann anapenda waganga
 
Kingine cha kujiuliza kwann anapenda attention na kumtumia mange kama mtetezi wake?akumbuke hata wema alishapitia njia hizo hizo mwisho wa siku huyo aliyekua mstari wa kwanza kumtetea ndo saiv anayemchafua vibaya
Hapa hamisa kazidi kuharibu,, sijui kwann anapenda waganga
 
Back
Top Bottom