HOJA Kwanini Wizara ya Afya isibadili utaratibu wa utoaji huduma kwenye vituo vya afya?

HOJA Kwanini Wizara ya Afya isibadili utaratibu wa utoaji huduma kwenye vituo vya afya?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
561
Reaction score
1,149
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya kwenye Vituo vya afya nchini ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,

Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,

Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji,Watumie Njia Mbadala Kama kuchoma Sehemu za misuli ya Mikono au Dawa za kunywa.
 
Wanawake wanapenda wanaume ndio wawahudumie wewe unapinga kama nani? Kuhudumiwa na mwanaume kuna nafuu inapatikana kutokana na kuwa ni jinsia tofauti maana yake hisia zinahusika kuliko kuhudumiwa na mwanamke mwenzake maumivu yanakuwa nimakubwa zaidi. Chukulia wewe unafanyiwa massage na mwanamke au mwanaume ungechagua nani?
 
Imagine Mke wa Mtu kupimwa Njia Na daktari Wa kiume,Hata kama Mjamzito sio Mke wa Mtu Bado Inatia Ukakasi Sana.
 
Wanawake wanapenda wanaume ndio wawahudumie wewe unapinga kama nani? Kuhudumiwa na mwanaume kuna nafuu inapatikana kutokana na kuwa ni jinsia tofauti maana yake hisia zinahusika kuliko kuhudumiwa na mwanamke mwenzake maumivu yanakuwa nimakubwa zaidi. Chukulia wewe unafanyiwa massage na mwanamke au mwanaume ungechagua nani?
Mkuu imagine umeoa alafu unaenda zahanati mke wako mjamzito Daktari wa kiume anakwambia tupishe kidogo Nimpime njia mkeo😂😂
 
Mkuu kuna kitu haujakifahamu bado, iko hivi, kuna kitu kinaitwa chaperone policy kwenye utaratibu wa kimataifa wa tiba. Daktari wa kiume anapomfanyia uchunguzi mama mjamzito kama vile vaginal examination lazima awe na muuguzi mwanamke pale ndani kama shuhuda ili kulinda usalama na staha ya mgonjwa.
 
Mkuu unazijua 'site of injections'?, unajua wahudumu wa afya wabobezi wa mambo ya uzazi (gynecologist) wa kike wako wangapi? na hao wagonjwa wanaohitaji huduma wako wangapi ? Ukijua hayo utajua uwezekano wa kuhudumiwa na mtu wa jinsi yako na kuchomwa sindano sehemu unayotaka wewe ni mkubwa au mdogo kiasi gani
 
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya katika nchi ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,

Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,

Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji.
Hiyo ya kupimwa njia ya uzazi na Dr. Mwanaume nitaikataa mpk aje Dr. au Nurse Mwanamke...unless Hospital haina Wahudumu wanawake
 
Ukiumwa hasa hutakumbuka kama nesi atashika tako na pamba alitikise baada ya kuchomoa sindano. Ugonjwa utakavyokupiga ukiambiwa vua nguo utakubali kama mtoto akaogeshwe.

Huyo mjamzito akizidiwa tu hajali kama aliyepo mbele yake ni mwanaume au mwanamke, anapanua miguu mwenyewe

Muaa huu huna ugonjwa lolote utasema tu na unasahau idadi ya wataalamu na jinsia zao kiidadi vikoje
 
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya katika nchi ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,

Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,

Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji.
Wakati huo huo hamtaki wasichana wasome sasa madaktari wa kike mtapata wapi ?
 
Mkuu unazijua 'site of injections'?, unajua wahudumu wa afya wabobezi wa mambo ya uzazi (gynecologist) wa kike wako wangapi? na hao wagonjwa wanaohitaji huduma wako wangapi ? Ukijua hayo utajua uwezekano wa kuhudumiwa na mtu wa jinsi yako na kuchomwa sindano sehemu unayotaka wewe ni mkubwa au mdogo kiasi gani
Mpaka leo hii 2026 tuwe bado na uhaba kiasi hicho cha wataalam?Siamini hilo japo kuna upungufu lakini si kiwango hicho
 
Back
Top Bottom