HOJA Kwanini Wizara ya Afya isibadili utaratibu wa utoaji huduma kwenye vituo vya afya?

HOJA Kwanini Wizara ya Afya isibadili utaratibu wa utoaji huduma kwenye vituo vya afya?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukiona mada hii jua mwanzilishi wake ni mfuasi wa Muddy,nyie watu akili zenu za kifa*a sana na zinawaza ufa*.


Ukiwa na Wivu wa kijinga hivi zaa mtoto wako awe anakutibu.

Unakuta kobazi kaoa mke bado mpya hivyo anaona Wivu mke wake kufunuliwa mashavu ya uke na daktari wa kiume, kwa taarifa yako mama akihudumiwa na daktari wa kiume Huwa anafurahi sana kuliko kuhudumia na mtoa huduma wa jinsi yake.
Acha Makasiriko Mkuu,Hatupo kwenye Mada Ya Udini😃
Kwahiyo Mke wako au Ndugu yako Unaona Ni sahihi Kupimwa Njia Na Daktari wa kiume Ni Sahihi?

Kwanza Unajua Wajawazito Wanapimwaje Njia Au Unaongea Tu,Ukijua Wanapimaje Njia Hata wewe Itakupa ukakasi😂😂😂
 
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya katika nchi ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,

Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,

Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji.
Somesheni watoto wenu wa kike, wawe madaktari wengi.

Hamtaki watoto wa kike wasome, na wakati huo huo, hamtaki madaktari wa kiume.

Mbona kwa Waganga mpaka wanafira wake zenu hatujawahi kuona malalamiko??

Suala la matibabu ni suala hiari.

Chagua Daktari wa kike ,kama.m hayupo, chukua mkeo mpeleke palipo na daktari wa kike.

Hakuna mtu timamu huwa analazimisha kutibu mtu.
 
Acha Makasiriko Mkuu,Hatupo kwenye Mada Ya Udini😃
Kwahiyo Mke wako au Ndugu yako Unaona Ni sahihi Kupimwa Njia Na Daktari wa kiume Ni Sahihi?

Kwanza Unajua Wajawazito Wanapimwaje Njia Au Unaongea Tu,Ukijua Wanapimaje Njia Hata wewe Itakupa ukakasi😂😂😂
Mimi Sina shida hata wakiingiza mkono wote,huo sio mwili wangu,nakushauri na wee uchunge mwili wako

By the way ni for medical reasons
 
Mpaka leo hii 2026 tuwe bado na uhaba kiasi hicho cha wataalam?Siamini hilo japo kuna upungufu lakini si kiwango hicho
Tembelea vyuo vya afya hasa wakati wa mahafali utaona wahitimu wa kike ni asilimia ndogo sana. Lakini pia sikubishii sana
 
Mkuu kuna kitu haujakifahamu bado, iko hivi, kuna kitu kinaitwa chaperone policy kwenye utaratibu wa kimataifa wa tiba. Daktari wa kiume anapomfanyia uchunguzi mama mjamzito kama vile vaginal examination lazima awe na muuguzi mwanamke pale ndani kama shuhuda ili kulinda usalama na staha ya mgonjwa.
Ufafanuzi Mzuri,Lakini Hoja yangu Ubadilishwe Utaratibu huo Madiktari wa Kiume Wabaki kwenye Upasuaji tu kama Mjamzito atashindwa kujifungua Kwa njia za kawaida.
 
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya katika nchi ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,

Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,

Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji.
Kama si sawa wewe mbona unaoa mwanamke na kulala naye uchi kwanini usioe mwanaume mwenzio na Mwanamke asiolewe na mwanamke mwenzie huoni huo ndiyo ungekuwa uadilifu
 
Ukiumwa hasa hutakumbuka kama nesi atashika tako na pamba alitikise baada ya kuchomoa sindano. Ugonjwa utakavyokupiga ukiambiwa vua nguo utakubali kama mtoto akaogeshwe.

Huyo mjamzito akizidiwa tu hajali kama aliyepo mbele yake ni mwanaume au mwanamke, anapanua miguu mwenyewe

Muaa huu huna ugonjwa lolote utasema tu na unasahau idadi ya wataalamu na jinsia zao kiidadi vikoje
Rejea Mkasa Wa yule Mdada wa Tabora aliebakwa na Daktari Kwenye Kituo Cha Afya wakati wa Huduma Mwaka Jana Mwezi 12 Tena alikua ni Mke wa Mtu na Mme wake Alikua nje Mapokezi akimsubili mkewe apatiwe Huduma,

Huyo ni Mmoja aliamua Kutoka Na kusema,Je Ni Wangapi waliofanyiwa vitu vya Hovyo Na wakaona aibu kutoka Kusema Hayo waliotendewa?

Tukisema Wagonjwa wanaohitaji huduma sehemu Zao za Faragha Wahudumiwe na jinsia yao ukiacha fedheha za kuonwa maungo yao sababu zingine ni kama hizo,

Madaktari Wa kiume waliokamilika kihisia kuona Maungo ya Wanawake inatia ukakasi.
 
Ufafanuzi Mzuri,Lakini Hoja yangu Ubadilishwe Utaratibu huo Madiktari wa Kiume Wabaki kwenye Upasuaji tu kama Mjamzito atashindwa kujifungua Kwa njia za kawaida.
Mkuu hemu fuatilia kwanza takwimu za nchi yetu maana ni kama unaongea jambo la kufikirika sana.

Takwimu za nchi yetu, madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na uzazi ni wachache mno, na asilimia kubwa ni wanaume. Kwenye wilaya nyingi au mikoani, unakuta kuna daktari bingwa mmoja tu wa kiume anayehudumia hospitali nzima ya rufaa.

Kwa huu uhaba wa madaktari unaona jambo unalolitaka linawezekana kweli?
 
Rejea Mkasa Wa yule Mdada wa Tabora aliebakwa na Daktari Kwenye Kituo Cha Afya wakati wa Huduma Mwaka Jana Mwezi 12 Tena alikua ni Mke wa Mtu na Mme wake Alikua nje Mapokezi akimsubili mkewe apatiwe Huduma,

Huyo ni Mmoja aliamua Kutoka Na kusema,Je Ni Wangapi waliofanyiwa vitu vya Hovyo Na wakaona aibu kutoka Kusema Hayo waliotendewa?

Tukisema Wagonjwa wanaohitaji huduma sehemu Zao za Faragha Wahudumiwe na jinsia yao ukiacha fedheha za kuonwa maungo yao sababu zingine ni kama hizo,

Madaktari Wa kiume waliokamilika kihisia kuona Maungo ya Wanawake inatia ukakasi.
Tabia ya mtu kwa utashi wake haimaanishi kile anayesimamia ni mzinzi. Mpaka amefikia kuhudumiwa na mwanaume maana yake wataalamu wa kike wa hayo magonjwa hamna hapo. Ili kuokoa jahazi wakaletwa wa kiume, utaanzaje kuruhusu jinsia moja ihudumie nyingine wakati hata wataalamu wa kutosha huna.
Unataka watu wakose huduma na maradhi kushamiri?

Haya unataka wa jinsia moja, vipi dokta wa kike akiwa ni upinde wale na ana tabia za kishenzi. Una uhakika atakuwa salama hapo? Hebu hizi tabia za mshenzi mmoja zisifanye mambo yakawa hovyo.

😀Mkuu hebu fikiria unachagua kuhudumiwa na mwanaume mwenzio kuepusha mambo ya aibu halafu una tatizo kwenye jicho la chini na Dokta bingwa ni mende. Yaani unatoa nguo kabla hajaanza huduma anajiambia "Ooh Mark usidinde ni mgonjwa huyu". Usalama upo?

Nimeandika mengi ila kiufupi hizi tabia za watu binafsi tu haijalishi jinsia gani kote zipo. Isikatazwe tu na wataalamu wa jinsia husika ni haba
 
Back
Top Bottom