Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Kivipi kijanaImagine Mke wa Mtu kupimwa Njia Na daktari Wa kiume,Hata kama Mjamzito sio Mke wa Mtu Bado Inatia Ukakasi Sana.
Mkuu imagine umeoa alafu unaenda zahanati mke wako mjamzito Daktari wa kiume anakwambia tupishe kidogo Nimpime njia mkeo😂😂Wanawake wanapenda wanaume ndio wawahudumie wewe unapinga kama nani? Kuhudumiwa na mwanaume kuna nafuu inapatikana kutokana na kuwa ni jinsia tofauti maana yake hisia zinahusika kuliko kuhudumiwa na mwanamke mwenzake maumivu yanakuwa nimakubwa zaidi. Chukulia wewe unafanyiwa massage na mwanamke au mwanaume ungechagua nani?
Hata kama Hilo halihalalishi Kumwambia Mwanaume avue Suruali umchome sindano ya makalio huo ni udhalilishajiHujawahi kuumwa serious
Ngoja upate jipu la mkun..du halafu uone itakuwaje..🤣🤣Hata kama Hilo halihalalishi Kumwambia Mwanaume avue Suruali umchome sindano ya makalio huo ni udhalilishaji
sahihi 100%👊Hujawahi kuumwa serious
Hiyo ya kupimwa njia ya uzazi na Dr. Mwanaume nitaikataa mpk aje Dr. au Nurse Mwanamke...unless Hospital haina Wahudumu wanawakeUtoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya katika nchi ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,
Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,
Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji.
Wakati huo huo hamtaki wasichana wasome sasa madaktari wa kike mtapata wapi ?Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya katika nchi ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,
Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,
Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa wote wanawake na wanaume Ni udhalilishaji.
Hapa umeona umemjibu murua kabisa mleta uzi?Hujawahi kuumwa serious
Tena ma Dr Wa kiume wanapenda Sana Kupima njia Wajawazito,Lakini Haijakaa Sawa Mwanamke Mjamzito Kuonwa Maungo yake Na Mwanaume Kisa tu Ni daktari.Hiyo ya kupimwa njia ya uzazi na Dr. Mwanaume nitaikataa mpk aje Dr. au Nurse Mwanamke...unless Hospital haina Wahudumu wanawake
Hilo Linawezekana,Sema tumehalalisha vitu vya Hovyo na vyenye ukakasi vionekane ni kawaidaHapa umeona umemjibu murua kabisa mleta uzi?
Kwani serikali imeshindwa kuajiri madaktari wa kutosha kwa uwiano ili wa kiume washughulikie wagonjwa wa kiume na wa kike halikadhalika wagonjwa wa kike?
Naamini wapo Mabinti Wengi tu Wapewe tu Ajira Kutatua changamoto hiyoWakati huo huo hamtaki wasichana wasome sasa madaktari wa kike mtapata wapi ?
Kama Hamna dawa Mbadala Ya kutumia Tofauti na hiyo Ya kuonwa makalio ntaacha ndala Bora niendelee na maumivu ya Jipu kuliko kwenda Kufunua makalio,Ngoja upate jipu la mkun..du halafu uone itakuwaje..🤣🤣
Mpaka leo hii 2026 tuwe bado na uhaba kiasi hicho cha wataalam?Siamini hilo japo kuna upungufu lakini si kiwango hichoMkuu unazijua 'site of injections'?, unajua wahudumu wa afya wabobezi wa mambo ya uzazi (gynecologist) wa kike wako wangapi? na hao wagonjwa wanaohitaji huduma wako wangapi ? Ukijua hayo utajua uwezekano wa kuhudumiwa na mtu wa jinsi yako na kuchomwa sindano sehemu unayotaka wewe ni mkubwa au mdogo kiasi gani