Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Mashabiki wenzangu wa msimbazi wakati mwingine mnatudharirisha, sisi tunamfunga al ahly tulikhwa na rekodi gani bora kuliko wao, kikosi chetu kilikuwa cha thamani gani, si ndio walikuwa wametoka kumsajili ramadan sobhi, kiasi utopolo wakawa wanatuimba tutatokea wapi.. Kipi kilijiri?
Shabiki wa simba ila nakupa like
 
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma
Toka jana nimewashauri YAnga...Ni bora nguvu kubwa muwekeze kwenye kombe la Shirikisho...na pia mujiandae kisaikolojia kwenda kenye kombe la sahirikisho... Msiseme sijawaambia...

Yanga kufika makundi mtasubiri labda baada ya miaka 10.

Ahsanta
 
Unajua shida ya nyie makolo mnaona mabwana zenu tunavyo wanyanyasa kila msimu,nyie mnasema ya kuwa Zalan kapigwa 9 ila mnasahau ya kuwa sisi mabwana zenu tumesha wagonga bao 9 pia,sasa kinacho waumiza ni kwamba tumesha waacha nyie tunataka mademu wengine hiko ndo kinacho waumiza,yap ni kweli lazima muumie tena koz ndo kawaida ya mapenzi lazima mumuonee wivu mke mwenzio,so kaeni kwa kutulia huyo Al hilal hapa atakuja na atachezea kit...o vizuri tu,sawa eeeeenh.

Tupo hapa.

Club above all

Haya sasa wana jangwani ingia Ig follow kwa_yanga_hii View attachment 2362760
Masikini wa akili ww!!
SINA HAJA YA KUKUJIBU MAANA TAYARI NIMEPIMA UELEWA WAKO KUTOKANA NA MANENO YAKO
 
Toka jana nimewashauri YAnga...Ni bora nguvu kubwa muwekeze kwenye kombe la Shirikisho...na pia mujiandae kisaikolojia kwenda kenye kombe la sahirikisho... Msiseme sijawaambia...

Yanga kufika makundi mtasubiri labda baada ya miaka 10.

Ahsanta
Sio shirikisho, warudi matopeni
 
NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 𝐇𝐈𝐋𝐀𝐋

KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL
Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua kinachoendelea mpaka sasa, kwani wanachosubiri ni miuujiza tu, maana hawana sababu ya kuiondoa Al hilal kivyovyote

Al hilal mwenye kikosi chenye thamani maradufu zaidi ya yanga ameshiriki mara nyingi zaidi michuano ya kimataifa especially klabu bingwa africa na kufikia makundi ukifananisha na utopolo, ambao mara ya mwisho kufikia makundi kombe hilo ilikuwa mwaka 1998 ( ilikuwa kama kipofu kaona mwezi)
Ambapo pia wakali hilal wanampaka rekodi ya kufika fainali michuano ya klabu africa, sasa twende kazi;

ADVANTAGE YA KUANZIA UGENINI
Hii ni nafasi nzuri sana kwa wakali hilal kuwakunyuga wauza magodoro na kuwatupa nje kwenye michuano, kwani aanziae ugenini ana nafasi kubwa ya kuusoma mchezo na kuumaliza mchezo maana ndo mwenye game ya mwisho,
ambapo advantage kama hiyo wameipata wababe kutoka msimbaz SIMBA SC [emoji881]

UWEPO FROLENT IBENGE
Takribani asilimia 40 ya wachezaji wa yanga wengi ni vijana wa kocha fundi frolent ibenge mf (mayele,djuma,bangala,moloko nk) ambao anawafahamu vizuri ubora na udhaifu wao( vinyago kavichonga yeye), hii itamrahisishia kuwadhibiti kwa urahisi wanajangwani hao na taratibu kujilia tunda kimasihara

USHINDI WAO DHIDI YA ZALAN
Lile bomu walilorusha monchwari na kujitangazia wameua litawaponza nawahakikishia.
Ushindi wa aggregate 9-0 dhidi ya zalan unaweza kuwaponza dhidi ya wataalamu hilal, ambao watajiandaa vizuri na kwa jihadi na pia kisaikolojia ili kukabiliana na utopolo, pia hawatakubali kuwapa nafasi kwa kuwa nao makini wakiamini utopolo wako vizuri zaidi.

NB: hilal wana nafasi nzuri ya kuiadhibu yanga kwa mkapa, hii inatokana na wenyeji hao kutotumia vizuri advantage yao ya uwanja wa nyumbani kimataifa kama ilivyo ada

Mungu ibariki Simba, MUNGU ibariki hilalView attachment 2362643View attachment 2362644
YAANI UMEKOSA KABISA KITU CHA KUPOSTI HADI UPOTEZE MUDA KUPOSTI UCHAMBUZI WA HOVYO KIASI HIKI!
Wenzetu wakisema Amerika kwanza, wewe umebakia Simba kwanza - SHAME!!!
 
Huu ni msimamo/mtazamo wako. Hivyo siwajibiki kuuingilia. Yanga ina mamilioni ya mashabiki duniani kote.

Sasa wanapotokea watu 50 kwenda kuwapokea hao wageni unao waongelea! Halafu uka generalize kama ndiyo mashabiki wote wa Yanga! Huoni utakuwa una tatizo mahali fulani ndugu mkurugenzi!

Hivi akitokea Mwenyekiti wako wa zamani ndugu Ismail Aden Rage akakuita mbumbumbu utakasirika kweli!!
Tuache unafiki twende kwenye ukweli, lini yanga alishawahi simama upande wa simba??!!
Yanga ipi hiyo??!!
Inawezekana ni kweli unachosema lakin hakuna uhalisia wa kitu hicho. Na kama tungekuwa hivyo basi tungefika mbali
 
YAANI UMEKOSA KABISA KITU CHA KUPOSTI HADI UPOTEZE MUDA KUPOSTI UCHAMBUZI WA HOVYO KIASI HIKI!
Wenzetu wakisema Amerika kwanza, wewe umebakia Simba kwanza - SHAME!!!
Nani anajali!!?? Ikituwakilisha simba inatosha, toka lini nyie mkatuwakilisha Tz, labd kutuwakilisha kihujuma na kiuchawi
 
Masikini wa akili ww!!
SINA HAJA YA KUKUJIBU MAANA TAYARI NIMEPIMA UELEWA WAKO KUTOKANA NA MANENO YAKO
Nakupokea vile unavyo kuja,ukija kwa chuki nakurudisha na kauli za hovyo,ila ukija na facts za kueleweka nakupa facts na me za kutosha,tatizo mnatanguliza chuki mbele,pia ndani ya hizo point zenu pia mnaweka chuki zaidi.

Hebu fikiria kwa misimu minne simba alofanya vizuri kimataifa jee amekutana na yanga mara ngapi,simba kashinda mechi ngapi dhidi ya yanga,simba ka sare mara ngapi dhidi ya yanga,pia simba kafungwa mara ngapi dhidi ya yanga,kama wewe ni shabiki wa timu yako husika majibu utakuwa nayo,sasa ni hivi wewe umewezaje kufika hatua ulofika na yanga ashindwe ikiwa ukikutana nae uwanjani dhidi ya yanga unapotea?.

Mpira hauchezwi mdomoni, mpira unachezwa uwanjani.
Juzi mlisema yanga atapotea kwa zalan kwa sababu hajajiandaa vya kutosha hivyo mlipendekeza yanga aanzishe michuano kama yenu,haya kipo wapi?, yanga yeye alijipima na KMC akaona inatosha,pia hiyo Yanga ambayo mnaibeza kwa kumpiga Zalan Agg 9 tambua hapa nchini mara ya mwisho kufungwa alifungwa na azam msimu wa juzi hivyo Yanga mpaka sasa hajapoteza.

Maskini wa akili nimekuletea facts hizo sasa wewe mwenye UTAJIRI WA AKILI NJOO NA FACTS ZAKO.

Alafu ukasema "huna haja ya kunijibu ......"
Ikiwa tayari umenijibu
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tuache unafiki twende kwenye ukweli, lini yanga alishawahi simama upande wa simba??!!
Yanga ipi hiyo??!!
Inawezekana ni kweli unachosema lakin hakuna uhalisia wa kitu hicho. Na kama tungekuwa hivyo basi tungefika mbali
Ni nyinyi tu vijana wa miaka ya karibuni ndiyo mmegeuza upinzani kati ya Yanga na simba kuwa uadui, badala ya utani wa jadi.

Ila ukweli ndiyo huo. Hakuna sababu ya kuiombea mabaya timu moja, huku ikiwa inawakilisha Taifa. Zaidi kutakuwepo tu utani wa hapa na pale kwa lengo tu la kukumbushana kuto kubweteka.
 
NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 𝐇𝐈𝐋𝐀𝐋

KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL
Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua kinachoendelea mpaka sasa, kwani wanachosubiri ni miuujiza tu, maana hawana sababu ya kuiondoa Al hilal kivyovyote

Al hilal mwenye kikosi chenye thamani maradufu zaidi ya yanga ameshiriki mara nyingi zaidi michuano ya kimataifa especially klabu bingwa africa na kufikia makundi ukifananisha na utopolo, ambao mara ya mwisho kufikia makundi kombe hilo ilikuwa mwaka 1998 ( ilikuwa kama kipofu kaona mwezi)
Ambapo pia wakali hilal wanampaka rekodi ya kufika fainali michuano ya klabu africa, sasa twende kazi;

ADVANTAGE YA KUANZIA UGENINI
Hii ni nafasi nzuri sana kwa wakali hilal kuwakunyuga wauza magodoro na kuwatupa nje kwenye michuano, kwani aanziae ugenini ana nafasi kubwa ya kuusoma mchezo na kuumaliza mchezo maana ndo mwenye game ya mwisho,
ambapo advantage kama hiyo wameipata wababe kutoka msimbaz SIMBA SC [emoji881]

UWEPO FROLENT IBENGE
Takribani asilimia 40 ya wachezaji wa yanga wengi ni vijana wa kocha fundi frolent ibenge mf (mayele,djuma,bangala,moloko nk) ambao anawafahamu vizuri ubora na udhaifu wao( vinyago kavichonga yeye), hii itamrahisishia kuwadhibiti kwa urahisi wanajangwani hao na taratibu kujilia tunda kimasihara

USHINDI WAO DHIDI YA ZALAN
Lile bomu walilorusha monchwari na kujitangazia wameua litawaponza nawahakikishia.
Ushindi wa aggregate 9-0 dhidi ya zalan unaweza kuwaponza dhidi ya wataalamu hilal, ambao watajiandaa vizuri na kwa jihadi na pia kisaikolojia ili kukabiliana na utopolo, pia hawatakubali kuwapa nafasi kwa kuwa nao makini wakiamini utopolo wako vizuri zaidi.

NB: hilal wana nafasi nzuri ya kuiadhibu yanga kwa mkapa, hii inatokana na wenyeji hao kutotumia vizuri advantage yao ya uwanja wa nyumbani kimataifa kama ilivyo ada

Mungu ibariki Simba, MUNGU ibariki hilalView attachment 2362643View attachment 2362644
Umenena vyema mkuu. Japokhwa unaonesha kutoitakia ushindi Yanga lakini kwa hizi nondo zako tayari umeisaidia kwa namna flan. Maneno haya ni tahadhari kwa yanga, waingie uwanjani wakiyajua haya hivyo wapambane kufakupona tena kwa hasira zote. Kama ambavyo wasivyoangalia kunyanzi wala kilema, wamrarue na kumchakaza Al Hilal bila huruma tena iwe zaidi ya ilivyowafanya Zalan, hadi afrika nzima itetemeke. Mbele Daima.
Mungu awatangulie wananchi.
 
Back
Top Bottom