Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Niende wapi mie Mtani. Haya za kukwepana? Hahahaaaa. lol.

Ila Mtani huu muda mnaoutumia kutuletea porojo zenu mnaonaje kama mngefikiria mechi yenu na WaAngola eti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wa Angola ni wetuu waleee, hatuna shida, vipi nyie na wa Sudan???

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 𝐇𝐈𝐋𝐀𝐋

KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL
Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua kinachoendelea mpaka sasa, kwani wanachosubiri ni miuujiza tu, maana hawana sababu ya kuiondoa Al hilal kivyovyote

Al hilal mwenye kikosi chenye thamani maradufu zaidi ya yanga ameshiriki mara nyingi zaidi michuano ya kimataifa especially klabu bingwa africa na kufikia makundi ukifananisha na utopolo, ambao mara ya mwisho kufikia makundi kombe hilo ilikuwa mwaka 1998 ( ilikuwa kama kipofu kaona mwezi)
Ambapo pia wakali hilal wanampaka rekodi ya kufika fainali michuano ya klabu africa, sasa twende kazi;

ADVANTAGE YA KUANZIA UGENINI
Hii ni nafasi nzuri sana kwa wakali hilal kuwakunyuga wauza magodoro na kuwatupa nje kwenye michuano, kwani aanziae ugenini ana nafasi kubwa ya kuusoma mchezo na kuumaliza mchezo maana ndo mwenye game ya mwisho,
ambapo advantage kama hiyo wameipata wababe kutoka msimbaz SIMBA SC [emoji881]

UWEPO FROLENT IBENGE
Takribani asilimia 40 ya wachezaji wa yanga wengi ni vijana wa kocha fundi frolent ibenge mf (mayele,djuma,bangala,moloko nk) ambao anawafahamu vizuri ubora na udhaifu wao( vinyago kavichonga yeye), hii itamrahisishia kuwadhibiti kwa urahisi wanajangwani hao na taratibu kujilia tunda kimasihara

USHINDI WAO DHIDI YA ZALAN
Lile bomu walilorusha monchwari na kujitangazia wameua litawaponza nawahakikishia.
Ushindi wa aggregate 9-0 dhidi ya zalan unaweza kuwaponza dhidi ya wataalamu hilal, ambao watajiandaa vizuri na kwa jihadi na pia kisaikolojia ili kukabiliana na utopolo, pia hawatakubali kuwapa nafasi kwa kuwa nao makini wakiamini utopolo wako vizuri zaidi.

NB: hilal wana nafasi nzuri ya kuiadhibu yanga kwa mkapa, hii inatokana na wenyeji hao kutotumia vizuri advantage yao ya uwanja wa nyumbani kimataifa kama ilivyo ada

Mungu ibariki Simba, MUNGU ibariki hilalView attachment 2362643View attachment 2362644
Wewe unaweza hata jitabiria lini demu wako ataliwa tigo.
 
Record ipo hivi mpka sasa
1663958266685.jpg
 
Back
Top Bottom