Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Binafsi nazitakia ushindi timu zetu zote tatu zilizobaki, baada ya Geita Gold kutolewa kwa goli la ugenini.

Linapokuja suala la Utaifa, siku zote moyo wangu uko pamoja na timu za Taifa langu. Hata kama kutakuwepo na utani wa hapa na pale, ila ukweli uko hivyo.

All the best kwa Wananchi Yanga, Simba SC, na Azam FC. Timu zote zisonge mbele kuelekea hatua inayofuata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had kupaliwa, umepatwa na nn wee shougaaa angu?? Sijakuzoea hivi kabisaa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sasa baada ya zile pilikapilika za kuandika mashudu kila siku mzungu hivi mzungu vile, mara kikosi hakieleweki mara kocha amefukuzwa mara barbara hivi mara simba vile nyuzi zilikua zinaongozana mpk kero. Sasa kaeni kwa kutulia maana mpk mcheze na hyo Aly Hilali mtakua mmetoa matusi yotee na mkifungwa sasa mnayarudia hahah. Tulieni na nyie dawa iwaingie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanalinywaaa huku wanakunja sura woiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Mnafiki na labda nikuchane mubashara ( live ) hapa hapa bila ya Kukuficha kuwa Sikupendi ( Nakuchukia ) na sitaki Shobo nawe na acha pia Kujipendekeza mno Kwangu sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
JamiiForums-1916240379.jpg
Ni maumivu juu ya maumivu
 
Wewe ni Mnafiki na labda nikuchane mubashara ( live ) hapa hapa bila ya Kukuficha kuwa Sikupendi ( Nakuchukia ) na sitaki Shobo nawe na acha pia Kujipendekeza mno Kwangu sawa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Al Hilal na Yanga kwenye mzani wa vikombe vya Caf wako sawasawa Kwa maana wote Hawana kikombe chochote Cha Caf na icho ndio kiashiria Cha ukubwa.
Swala la kufika Robo kufika fainali halina uhusiano wowote na kutwaa kikombe Cha Caf.
Yanga ilisha wahi kucheza robo ya Caf champion league mfululizo 1969, 1970 historia hio aina maana yoyote inabaki ni stori tu.
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma.
Wananchi kila kifaa kinachohitajika kwenye kazi tunacho, hata wale tuliowapiga goli 9 ni kwaajili ya ubora wa vifaa tulivyonavyo,
Alhilal atakufa nje ndani.
 
Back
Top Bottom