cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had kupaliwa, umepatwa na nn wee shougaaa angu?? Sijakuzoea hivi kabisaa.Binafsi nazitakia ushindi timu zetu zote tatu zilizobaki, baada ya Geita Gold kutolewa kwa goli la ugenini.
Linapokuja suala la Utaifa, siku zote moyo wangu uko pamoja na timu za Taifa langu. Hata kama kutakuwepo na utani wa hapa na pale, ila ukweli uko hivyo.
All the best kwa Wananchi Yanga, Simba SC, na Azam FC. Timu zote zisonge mbele kuelekea hatua inayofuata.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app