Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Shabiki wa simba ila nakupa like
 
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma
Toka jana nimewashauri YAnga...Ni bora nguvu kubwa muwekeze kwenye kombe la Shirikisho...na pia mujiandae kisaikolojia kwenda kenye kombe la sahirikisho... Msiseme sijawaambia...

Yanga kufika makundi mtasubiri labda baada ya miaka 10.

Ahsanta
 
Masikini wa akili ww!!
SINA HAJA YA KUKUJIBU MAANA TAYARI NIMEPIMA UELEWA WAKO KUTOKANA NA MANENO YAKO
 
Sio shirikisho, warudi matopeni
 
YAANI UMEKOSA KABISA KITU CHA KUPOSTI HADI UPOTEZE MUDA KUPOSTI UCHAMBUZI WA HOVYO KIASI HIKI!
Wenzetu wakisema Amerika kwanza, wewe umebakia Simba kwanza - SHAME!!!
 
Tuache unafiki twende kwenye ukweli, lini yanga alishawahi simama upande wa simba??!!
Yanga ipi hiyo??!!
Inawezekana ni kweli unachosema lakin hakuna uhalisia wa kitu hicho. Na kama tungekuwa hivyo basi tungefika mbali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
YAANI UMEKOSA KABISA KITU CHA KUPOSTI HADI UPOTEZE MUDA KUPOSTI UCHAMBUZI WA HOVYO KIASI HIKI!
Wenzetu wakisema Amerika kwanza, wewe umebakia Simba kwanza - SHAME!!!
Nani anajali!!?? Ikituwakilisha simba inatosha, toka lini nyie mkatuwakilisha Tz, labd kutuwakilisha kihujuma na kiuchawi
 
Masikini wa akili ww!!
SINA HAJA YA KUKUJIBU MAANA TAYARI NIMEPIMA UELEWA WAKO KUTOKANA NA MANENO YAKO
Nakupokea vile unavyo kuja,ukija kwa chuki nakurudisha na kauli za hovyo,ila ukija na facts za kueleweka nakupa facts na me za kutosha,tatizo mnatanguliza chuki mbele,pia ndani ya hizo point zenu pia mnaweka chuki zaidi.

Hebu fikiria kwa misimu minne simba alofanya vizuri kimataifa jee amekutana na yanga mara ngapi,simba kashinda mechi ngapi dhidi ya yanga,simba ka sare mara ngapi dhidi ya yanga,pia simba kafungwa mara ngapi dhidi ya yanga,kama wewe ni shabiki wa timu yako husika majibu utakuwa nayo,sasa ni hivi wewe umewezaje kufika hatua ulofika na yanga ashindwe ikiwa ukikutana nae uwanjani dhidi ya yanga unapotea?.

Mpira hauchezwi mdomoni, mpira unachezwa uwanjani.
Juzi mlisema yanga atapotea kwa zalan kwa sababu hajajiandaa vya kutosha hivyo mlipendekeza yanga aanzishe michuano kama yenu,haya kipo wapi?, yanga yeye alijipima na KMC akaona inatosha,pia hiyo Yanga ambayo mnaibeza kwa kumpiga Zalan Agg 9 tambua hapa nchini mara ya mwisho kufungwa alifungwa na azam msimu wa juzi hivyo Yanga mpaka sasa hajapoteza.

Maskini wa akili nimekuletea facts hizo sasa wewe mwenye UTAJIRI WA AKILI NJOO NA FACTS ZAKO.

Alafu ukasema "huna haja ya kunijibu ......"
Ikiwa tayari umenijibu
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tuache unafiki twende kwenye ukweli, lini yanga alishawahi simama upande wa simba??!!
Yanga ipi hiyo??!!
Inawezekana ni kweli unachosema lakin hakuna uhalisia wa kitu hicho. Na kama tungekuwa hivyo basi tungefika mbali
Ni nyinyi tu vijana wa miaka ya karibuni ndiyo mmegeuza upinzani kati ya Yanga na simba kuwa uadui, badala ya utani wa jadi.

Ila ukweli ndiyo huo. Hakuna sababu ya kuiombea mabaya timu moja, huku ikiwa inawakilisha Taifa. Zaidi kutakuwepo tu utani wa hapa na pale kwa lengo tu la kukumbushana kuto kubweteka.
 
Umenena vyema mkuu. Japokhwa unaonesha kutoitakia ushindi Yanga lakini kwa hizi nondo zako tayari umeisaidia kwa namna flan. Maneno haya ni tahadhari kwa yanga, waingie uwanjani wakiyajua haya hivyo wapambane kufakupona tena kwa hasira zote. Kama ambavyo wasivyoangalia kunyanzi wala kilema, wamrarue na kumchakaza Al Hilal bila huruma tena iwe zaidi ya ilivyowafanya Zalan, hadi afrika nzima itetemeke. Mbele Daima.
Mungu awatangulie wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…