Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
863
Reaction score
1,462
NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 π‡πˆπ‹π€π‹

KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL
Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua kinachoendelea mpaka sasa, kwani wanachosubiri ni miuujiza tu, maana hawana sababu ya kuiondoa Al hilal kivyovyote

Al hilal mwenye kikosi chenye thamani maradufu zaidi ya yanga ameshiriki mara nyingi zaidi michuano ya kimataifa especially klabu bingwa africa na kufikia makundi ukifananisha na utopolo, ambao mara ya mwisho kufikia makundi kombe hilo ilikuwa mwaka 1998 ( ilikuwa kama kipofu kaona mwezi)
Ambapo pia wakali hilal wanampaka rekodi ya kufika fainali michuano ya klabu africa, sasa twende kazi;

ADVANTAGE YA KUANZIA UGENINI
Hii ni nafasi nzuri sana kwa wakali hilal kuwakunyuga wauza magodoro na kuwatupa nje kwenye michuano, kwani aanziae ugenini ana nafasi kubwa ya kuusoma mchezo na kuumaliza mchezo maana ndo mwenye game ya mwisho,
ambapo advantage kama hiyo wameipata wababe kutoka msimbaz SIMBA SC [emoji881]

UWEPO FROLENT IBENGE
Takribani asilimia 40 ya wachezaji wa yanga wengi ni vijana wa kocha fundi frolent ibenge mf (mayele,djuma,bangala,moloko nk) ambao anawafahamu vizuri ubora na udhaifu wao( vinyago kavichonga yeye), hii itamrahisishia kuwadhibiti kwa urahisi wanajangwani hao na taratibu kujilia tunda kimasihara

USHINDI WAO DHIDI YA ZALAN
Lile bomu walilorusha monchwari na kujitangazia wameua litawaponza nawahakikishia.
Ushindi wa aggregate 9-0 dhidi ya zalan unaweza kuwaponza dhidi ya wataalamu hilal, ambao watajiandaa vizuri na kwa jihadi na pia kisaikolojia ili kukabiliana na utopolo, pia hawatakubali kuwapa nafasi kwa kuwa nao makini wakiamini utopolo wako vizuri zaidi.

NB: hilal wana nafasi nzuri ya kuiadhibu yanga kwa mkapa, hii inatokana na wenyeji hao kutotumia vizuri advantage yao ya uwanja wa nyumbani kimataifa kama ilivyo ada

Mungu ibariki Simba, MUNGU ibariki hilal
Screenshot_20220920-133649-1.jpg
ibenge_florent_21_9999_1.jpg
 
Kweli wananchi mmewakamata makolo, big up timu pendwa. Kwa sasa huwezi anzisha thread inayohusu michezo nje ya Yanga ukapata wasomaji na wachangiaji. Sasa ona mambumbumbu FC yanavyojidhalilisha. Keep it up wananchi,

Pitso Mosimane
 
Al Hilal na Yanga kwenye mzani wa vikombe vya Caf wako sawasawa Kwa maana wote Hawana kikombe chochote Cha Caf na icho ndio kiashiria Cha ukubwa.
Swala la kufika Robo kufika fainali halina uhusiano wowote na kutwaa kikombe Cha Caf.
Yanga ilisha wahi kucheza robo ya Caf champion league mfululizo 1969, 1970 historia hio aina maana yoyote inabaki ni stori tu.
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma.
 
Kweli wananchi mmewakamata makolo, big up timu pendwa. Kwa sasa huwezi anzisha thread ya mwaka michezo nje ya Yanga ukapata wasomaji na wachangiaji. Sasa ona mambumbumbu FC yanavyojidhalilisha. Keep it up wananchi,

Pitso Mosimane
"Kuruka ruka kwa maharagwe ndo kuiva kwake,"
Ukiona hvy kifo chake kimewadia

Yanga aende huko mbele akafanye nn
 
Mashabiki wenzangu wa msimbazi wakati mwingine mnatudharirisha, sisi tunamfunga al ahly tulikhwa na rekodi gani bora kuliko wao, kikosi chetu kilikuwa cha thamani gani, si ndio walikuwa wametoka kumsajili ramadan sobhi, kiasi utopolo wakawa wanatuimba tutatokea wapi.. Kipi kilijiri?
 
Kweli wananchi mmewakamata makolo, big up timu pendwa. Kwa sasa huwezi anzisha thread ya mwaka michezo nje ya Yanga ukapata wasomaji na wachangiaji. Sasa ona mambumbumbu FC yanavyojidhalilisha. Keep it up wananchi,

Pitso Mosimane
Makolo kina nan!?
Mmewakamata kwa lip!?
 
Al Hilal na Yanga kwenye mzani wa vikombe vya Caf wako sawasawa Kwa maana wote Hawana kikombe chochote Cha Caf na icho ndio kiashiria Cha ukubwa.
Swala la kufika Robo kufika fainali halina uhusiano wowote na kutwaa kikombe Cha Caf.
Yanga ilisha wahi kucheza robo ya Caf champion league mfululizo 1969, 1970 historia hio aina maana yoyote inabaki ni stori tu.
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma.
Unachoongea unakijua!!??
Yanga na hilal mzani sawa!!!
Usireply ilimradi ureply
 
Mashabiki wenzangu wa msimbazi wakati mwingine mnatudharirisha, sisi tunamfunga al ahly tulikhwa na rekodi gani bora kuliko wao, kikosi chetu kilikuwa cha thamani gani, si ndio walikuwa wametoka kumsajili ramadan sobhi, kiasi utopolo wakawa wanatuimba tutatokea wapi.. Kipi kilijiri?
Aaagh!! Sasa mnyama huwez mfananisha na uto* ni two quality differents
 
Kumbe uliyetoa post ni kolo [emoji83] wizard?
Al hilal wangekuwa wazuri wasingepewa peneti ya kuunga Unga dhidi ya st.george

[emoji3504] YANGA hii imemfukuza kazi kocha Pablo+ Babu Zoran
[emoji3504] Zamu ya IBENGE kufukuzwa kazi

Kolo wizards [emoji83] sisi Yanga makundi lazima

Kolo ni kolo tu[emoji83][emoji668]
Mayele kawafunga Simba goli 2[emoji460][emoji460]
Mayele kawafunga zalani goli 3[emoji460][emoji460][emoji460]
Hapo tofauti ya zalani na kolo ni ipi?

[emoji3504] Yanga tumeiomba CAF waruhusu Simba [emoji83]+Al hilal watengeneze timu 1 ili timu hiyo ndio ingie uwanjani kupambana na Yanga tarehe 8/10/2022

[emoji375][emoji375]Suala la hat trick kujirudia hiyo tarehe 8/10/2022
Ndio endapo wings back na middle players kutimiza majukumu yao vyema ili mipira imfikie yule unaemjua wewe ambae hutaki kumuona uwanjani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji375][emoji375]Yanga makundi ni suala la muda[emoji375][emoji375]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], we jamaa acha kunifurahisha, umeiomba caf simba ishiriki, ahahhahahaha
Bc ingekuwa hivyo na si tungeomba lipuli ishiriki champions league wakt ule

Mayele kufunga mechi ya simba nd maan yake nn sas??!!! Nashkuru kuishabikia simba over this stupid club, kweli yanga washamba
 
Yaani hata yeye anakushangaa kushabikia li timu la kipumbavu kama simba. Usikute kuwa shabiki wa simba ni dhambi sisi hatujui
 
Mkuu me sijaiponda yanga ila! Nimetoa facts zangu tu!
Kama kuna shabiki mwenye facts nae atoe, maana hatubishani wala kugombana
 
Back
Top Bottom