Kwanini Yanga hawajasajili?

Kwanini Yanga hawajasajili?

Be objective mkuu!
You can relate
IMG_20230721_094121.jpg
 
Mambumbumbu a.k.a makolo wana akili ndogo sana yaani hakuna barua yoyote iliyotolewa lakini bado wanaamini ujinga ujinga tu[emoji1787][emoji1787]
Ndo matamanio yao kuona tunafungiwa maana uwanjani hawatuwezi tena
 
Ngoja nipite hivi..................................................................
 
Mlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?
Klabu yenu hiyo mnajijua wenyewe. Mwezi moja kabla ya Mgunda kufananishwa na andazi. Msemaji wa Simba aliwafananisha Yanga na maiti. Hawakujali sana , leo la mgunda linawavuruga ?!

Hersi amekuzidi mbali achana naye.
 
Halafu mbona hapo zipo timu nne tu, kuna timu zingine kibao hazijasajili lakini makolo wanwashwa na yanga sio poa
 
Mlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?
Hebu nikuambie kitu kimoja mtu mwenye akili timamu kichwani hauwezi kumtusi mtu kisa mpira...mpira ni mchezo wa furaha hata huyo kamwe alivuka mipaka ndio maana akaomba radhi
 
Klabu yenu hiyo mnajijua wenyewe. Mwezi moja kabla ya Mgunda kufananishwa na andazi. Msemaji wa Simba aliwafananisha Yanga na maiti. Hawakujali sana , leo la mgunda linawavuruga ?!

Hersi amekuzidi mbali achana naye.
Dewji anawazidi mbali sana Engineer akiwemo, lakini bado mnamtupia vijembe. So huyo Hersi yeye amekuwa nani?
 
Hata hivyo kule upande wenu wenye akili ni wawili tu, hatujapewa taarifa nyingine kama idadi ilishaongezeka.
Ndiyo maana nikasema haujulikani upo upande upi ili nijue jinsi ya kuongea na wewe [emoji1787][emoji1787] unaendelea kuthibitisha wewe sio mtu wa mpira.
 
Back
Top Bottom