Kwanini Yanga hawajasajili?

Kwanini Yanga hawajasajili?

Kwani hao 22 wa simba wote wamesajiliwa msimu huu au unaelewaje
 
1000015758.jpg
 
Wale jamaa kweli ni nyani watupu. Wanakwama wapi kumlipa kocha Mbelgiji ili maisha yaendelee?

Hivi yule Eng. Hersi mwenye kichwa kama amevaa kapelo hana akili kiasi hiki?
Unamponda mtu ambae amekuzidi kila kitu katika maisha hauoni huo ni ujinga ?kumtukana mtu kwasababu ya maumbile yake au ndio kanisani huwa munafundishwa hivyo?
 
Unamponda mtu ambae amekuzidi kila kitu katika maisha hauoni huo ni ujinga ?kumtukana mtu kwasababu ya maumbile yake au ndio kanisani huwa munafundishwa hivyo?
Mlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?
 
Back
Top Bottom