50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Be objective mkuu!Pengine ni mazoea ikiwa imezoeleka wanapelekaga majina mapema wanaona this time sio kawaida na ndio maana kila siku wanapost kukumbushia siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be objective mkuu!Pengine ni mazoea ikiwa imezoeleka wanapelekaga majina mapema wanaona this time sio kawaida na ndio maana kila siku wanapost kukumbushia siku
Umewahi ona this post before?Be objective mkuu!
Nani anakudanganya?Mbona Yanga sio wageni huko CAF?
Si ndo hapoKwani hao 22 wa simba wote wamesajiliwa msimu huu au unaelewaje
unataka kusema niniNani anakudanganya?
Kuna mahali nimeandika kudanganywa?Nani anakudanganya?
Let Yanga enjoy mwananchi day calmly.Umewahi ona this post before?
Kwani kudanganywa hadi uandike? Utaandika nini wakati hujui?Kuna mahali nimeandika kudanganywa?
Kwani kudanganywa hadi uandike? Utaandika nini wakati hujui?
Taratibu ndio hizo kusajili wachezaji.Ujue mpira na taratibu zake
Unamponda mtu ambae amekuzidi kila kitu katika maisha hauoni huo ni ujinga ?kumtukana mtu kwasababu ya maumbile yake au ndio kanisani huwa munafundishwa hivyo?Wale jamaa kweli ni nyani watupu. Wanakwama wapi kumlipa kocha Mbelgiji ili maisha yaendelee?
Hivi yule Eng. Hersi mwenye kichwa kama amevaa kapelo hana akili kiasi hiki?
Mlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?Unamponda mtu ambae amekuzidi kila kitu katika maisha hauoni huo ni ujinga ?kumtukana mtu kwasababu ya maumbile yake au ndio kanisani huwa munafundishwa hivyo?
NaamLet Yanga enjoy mwananchi day calmly.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kudanganywa hadi uandike? Utaandika nini wakati hujui?
Hawa mpaka dawa iwaingieNgada fc wanaamini mabingwa tumefungiwa usajili [emoji1787][emoji1787]
Kwanini wakaweka time limit?Taratibu ndio hizo kusajili wachezaji.