Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
- Thread starter
-
- #61
Not official
Kuna kushabikia mpira na kushangilia mpira wewe uko wapi?Mlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?
hapo kakosa hojaUnamponda mtu ambae amekuzidi kila kitu katika maisha hauoni huo ni ujinga ?kumtukana mtu kwasababu ya maumbile yake au ndio kanisani huwa munafundishwa hivyo?
You can relateBe objective mkuu!
Mambumbumbu a.k.a makolo wana akili ndogo sana yaani hakuna barua yoyote iliyotolewa lakini bado wanaamini ujinga ujinga tu🤣🤣Ngada fc wanaamini mabingwa tumefungiwa usajili 🤣🤣
Ndio utaratibu huo, hakuna aliyelazimishwa kusajili mapema. Jukumu la TFF ni kutoa updates. Ndio maana kufikia leo utaona Yanga imeshasajili wachezaji 22Kwanini wakaweka time limit?
Ndo matamanio yao kuona tunafungiwa maana uwanjani hawatuwezi tenaMambumbumbu a.k.a makolo wana akili ndogo sana yaani hakuna barua yoyote iliyotolewa lakini bado wanaamini ujinga ujinga tu[emoji1787][emoji1787]
[emoji109]Ndio utaratibu huo, hakuna aliyelazimishwa kusajili mapema. Jukumu la TFF ni kutoa updates. Ndio maana kufikia leo utaona Yanga imeshasajili wachezaji 22
Klabu yenu hiyo mnajijua wenyewe. Mwezi moja kabla ya Mgunda kufananishwa na andazi. Msemaji wa Simba aliwafananisha Yanga na maiti. Hawakujali sana , leo la mgunda linawavuruga ?!Mlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?
Hebu nikuambie kitu kimoja mtu mwenye akili timamu kichwani hauwezi kumtusi mtu kisa mpira...mpira ni mchezo wa furaha hata huyo kamwe alivuka mipaka ndio maana akaomba radhiMlipomtukana Kocha Juma Mgunda alikuwa amewakosea nini? Ali Kamwe alipomtukana Mgunda ulitoa tamko la kulaani?
Something kubwaSomething big is boiling
Wana hasira sanaHebu nikuambie kitu kimoja mtu mwenye akili timamu kichwani hauwezi kumtusi mtu kisa mpira...mpira ni mchezo wa furaha hata huyo kamwe alivuka mipaka ndio maana akaomba radhi
Ukishindwa kujibu swali dawa yake ni kuongeza swali jingine lisiloendana na mada husika?Kuna kushabikia mpira na kushangilia mpira wewe uko wapi?
Sijaona swali hapo ndo maana nimeamua nikupe swali ambalo unalimudu.Ukishindwa kujibu swali dawa yake ni kuongeza swali jingine lisiloendana na mada husika?
Dewji anawazidi mbali sana Engineer akiwemo, lakini bado mnamtupia vijembe. So huyo Hersi yeye amekuwa nani?Klabu yenu hiyo mnajijua wenyewe. Mwezi moja kabla ya Mgunda kufananishwa na andazi. Msemaji wa Simba aliwafananisha Yanga na maiti. Hawakujali sana , leo la mgunda linawavuruga ?!
Hersi amekuzidi mbali achana naye.
Hata hivyo kule upande wenu wenye akili ni wawili tu, hatujapewa taarifa nyingine kama idadi ilishaongezeka.Sijaona swali hapo ndo maana nimeamua nikupe swali ambalo unalimudu.
Ndiyo maana nikasema haujulikani upo upande upi ili nijue jinsi ya kuongea na wewe [emoji1787][emoji1787] unaendelea kuthibitisha wewe sio mtu wa mpira.Hata hivyo kule upande wenu wenye akili ni wawili tu, hatujapewa taarifa nyingine kama idadi ilishaongezeka.