Kwa umuhimu wa Manji japo baadhi ya viongozi wa Yanga wangeenda huko USA japo kushiriki msiba na kuwa karibu na familiaMkuu Dunia imebadilika sana unakua muhimu pale unapohitajika, yanga wameonesha kuguswa lakini si katika level iliyotarajiwa na wengi...
Naona itakua ratiba nae maana wenzetu zege halilaliKwa umuhimu wa Manji japo baadhi ya viongozi wa Yanga wangeenda huko USA japo kushiriki msiba na kuwa karibu na familia
Wtz tuna ujinga Sana.... Yaani eti "Manji aliisaidia yanga". ๐ ๐Kila mtu alinufaika...........hii dunia hamna cha bure, tena akupe muhindi
Huo ukubwa wako kma ndio unawaza hivi basi hamna kitu .....We Bado mdogo.
Wanaongelea msaada kwenye dunia ya ubepaliWtz tuna ujinga Sana.... Yaani eti "Manji aliisaidia yanga". ๐ ๐
Hakika mkuuNaona kama wanataka legacy ya GSM ndio idumu Yanga, nilisikitika kuona tuna msiba huku watu wanaandamana kushangilia ujio wa Chama.
Lakini, Manji atabaki mioyoni mwetu wanazi wa Yanga. Hatuwezi kusahau alipotutoa, Apumzike kwa amani.