Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Alitoa pesa Bure?, alikuja kufanya biashara na ya ga na sio kutoa msaada.Kwaiyo kama hakuisaidia alifanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoa pesa Bure?, alikuja kufanya biashara na ya ga na sio kutoa msaada.Kwaiyo kama hakuisaidia alifanyaje
Wewe ndo hujafatalia, wamesema mbona. Tafuta taarifa sahihi.Kwanza misiba yote inatolewa sabab marehem kafa na nini, ila huyu taarifa imetolewa kibabe, Just Manji kafia Florida Marekani. Wakaona hizo ndio taarifa za kutupa walaji. Basi nasi tukauchukulia msiba kama nothing happened
Kwahiyo unataka shughuli za timu zisimame?, amekufa kafa. Na kila mmoja ana mchango wake kweny timu zama za Manji zilikuwepo zikapita... Zama za Gsm zipo na zitapita. Usilazimishe kila mtu apokee Jambo kama unavyotaka.Naona kama wanataka legacy ya GSM ndio idumu Yanga, nilisikitika kuona tuna msiba huku watu wanaandamana kushangilia ujio wa Chama.
Lakini, Manji atabaki mioyoni mwetu wanazi wa Yanga. Hatuwezi kusahau alipotutoa, Apumzike kwa amani.
Ujinga mtupu....Wanaongelea msaada kwenye dunia ya ubepali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan ulie msiban wa x wako , mbelee ya mumeo anakumiliki ss hv ,ww kuwezaa afsaaa[emoji23]
Ni rahisi ndio .. kwani alifungwa kamba au pingu?, hizi mambo za kushukuru na kutoa sifa za kipumbavu kwa watu wanaonemeka kupitia taasisi za umma ni ushenzi. Huna hata uelewa mdogo wakutambua kuwa katika ulimwengu wa Sasa wa kibepari hakuna kitu Cha Bure?. Hovyoo kabisa....Kama ni rahisi mbona wewe hukwenda kuwekeza
Wacha nikupuuze.Ni rahisi ndio .. kwani alifungwa kamba au pingu?, hizi mambo za kushukuru na kutoa sifa za kipumbavu kwa watu wanaonemeka kupitia taasisi za umma ni ushenzi. Huna hata uelewa mdogo wakutambua kuwa katika ulimwengu wa Sasa wa kibepari hakuna kitu Cha Bure?. Hovyoo kabisa....
Kama ndio umesoma uchumi wa hivi ..!! Basi hopeless kabisa .Wacha nikupuuze.
Uelewa wako bdo upo chini mno kwenye masuala ya uchumi
Hao viongozi wao ni watoto wa 2000Sisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji.
Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na kuipa mafanikio team yetu ya Yanga.
Yanga wameshindwa kuomboleza japo kuamru bendera za team yetu zipepee nusu mlingoti, au kuandaa mchezo wa kumpa heshima.
Au hata kushirikiana na familia yake kumzika Kwa heshima.
Naipenda sana YANGA ila viongozi mmetuangusha Kwa kuonyesha dhahiri kumfifisha Mwenyekiti wetu Manji na kuonyesha hakuwa chochote wala lolote Kwa Yanga
Viongozi wa Yanga Kwa hili mmeteleza, ila Bado hamjachelewa tunaomba japo muandame mcheza mkubwa wa kumuenzi au siku ya mwananchi iitwe ASANTE MANJI au MANJI DAY.
Wasalam
ALizikwa Florida Marekani; je Yanga nayo ilitakiwa isafiri kwenye huko ili kuonyesha kuwa inamuenzi? Lawama zako zingekuwa na maana tu endapo familia ya Manji ingekuwa na shughuli za Mazishi Dar na Yanga wakaiyasusuiaSisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji.
Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na kuipa mafanikio team yetu ya Yanga.
Yanga wameshindwa kuomboleza japo kuamru bendera za team yetu zipepee nusu mlingoti, au kuandaa mchezo wa kumpa heshima.
Au hata kushirikiana na familia yake kumzika Kwa heshima.
Naipenda sana YANGA ila viongozi mmetuangusha Kwa kuonyesha dhahiri kumfifisha Mwenyekiti wetu Manji na kuonyesha hakuwa chochote wala lolote Kwa Yanga
Viongozi wa Yanga Kwa hili mmeteleza, ila Bado hamjachelewa tunaomba japo muandame mcheza mkubwa wa kumuenzi au siku ya mwananchi iitwe ASANTE MANJI au MANJI DAY.
Wasalam
NakaziaNaona kama wanataka legacy ya GSM ndio idumu Yanga, nilisikitika kuona tuna msiba huku watu wanaandamana kushangilia ujio wa Chama.
Lakini, Manji atabaki mioyoni mwetu wanazi wa Yanga. Hatuwezi kusahau alipotutoa, Apumzike kwa amani.
Msiba wa Manji umekutana na wiki ya kushangilia ujio wa Chama .Sisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji.
Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na kuipa mafanikio team yetu ya Yanga.
Yanga wameshindwa kuomboleza japo kuamru bendera za team yetu zipepee nusu mlingoti, au kuandaa mchezo wa kumpa heshima.
Au hata kushirikiana na familia yake kumzika Kwa heshima.
Naipenda sana YANGA ila viongozi mmetuangusha Kwa kuonyesha dhahiri kumfifisha Mwenyekiti wetu Manji na kuonyesha hakuwa chochote wala lolote Kwa Yanga
Viongozi wa Yanga Kwa hili mmeteleza, ila Bado hamjachelewa tunaomba japo muandame mcheza mkubwa wa kumuenzi au siku ya mwananchi iitwe ASANTE MANJI au MANJI DAY.
Wasalam
PIA SOMA
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani
Ingawa mimi ni mnyama lkn nimekuelewa vizur sanaSisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji.