Kwanini Yanga icheze kesho na Simba keshokutwa?

Wenye akili ni wawili tuu, ligi inatimu 16, ulitaka ratiba ipangwe akifanya hivi Simba na Yanga afanye hivo hivo
 
Kwavile yanga ndio anaanza kucheza basi tff wanataka afungwe? Akili za wapi hizi
 
Ulitaka Simba wacheze lini na Yanga wacheze lini ndugu?
 

Sio hivyo tu… wameisogeza pia mechi ya Simba V Azam.
 
Uto lialia umesahau pia kashitaki Simba ana kiporo mechi moja. Msikubali kucheza hadi pale Simba itakapomaliza kiporo chake.
 
Tff na BODI ya LIGI ni washenzi sana hii ratiba walikuwa wanalo lao jambo lakini wameshindwa kwa jina la yesu, Kila walichopanga kimeferi wapuuzi Hawa, mechi 4 ngumu mfululizo ndani ya siku chache utafikiri wachezaji ni vyuma ni ukatili wa Hali ya juu, na timu yao walivyokuwa wanataka kuibeba imesambaratishwa kwa kipigo kizito na wamepata somo wasije wakarudia ujinga huu
 
Mkuu unavyoandika madini namna hii!! Kwa hiyo unataka zichezee Siku moja au simba sc wacheze kwanza then yanga. Hatutafika tunakotakiwa kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…