Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Yeahupo aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeahupo aise
Wenye akili ni wawili tuu, ligi inatimu 16, ulitaka ratiba ipangwe akifanya hivi Simba na Yanga afanye hivo hivoNi sawa hatukatai #TFF ni Simba 100% sio ajabu nao utakuta wamefunga ofisi kuomboleza kichapo cha goli tano, kati ya Tff zote hii ndio imeshindwa kuficha mapenzi kwa kitoto chao kipenzi Simba.
Simple calculation timu zote zimecheza Jumapili ila ajabu Yanga inayoenda kucheza ugenini wanacheza kesho wakati Simba wakiwa nyumbani wanacheza keshokutwa ukiangalia Yanga ndio walikua na gemu ngumu zaidi kuliko Simba kwa hapa Tff imembeba Simba, ratiba hii inamtengenezea Simba mazingira mazuri sana ya kiupendeleo kuibuka na ushindi huku wakitaka Yanga ipoteze gemu zake.
Chini ya Tff hii wamekua wakiifanyia Yanga figisu za kila aina ili ishindwe bahati nzuri sana Yanga imekua na viongozi shupavu chini ya Rais kijana Eng Hersi na mashabiki shupavu hili limesaidia kuruka vikwazo na viunzi vyote vya Tff kama Yanga angekua legelege hakika angetema pointi zote.
Hata siku moja giza halijawahi kuishinda Nuru.
Roma ikisema imesema
Kwavile yanga ndio anaanza kucheza basi tff wanataka afungwe? Akili za wapi hiziNi sawa hatukatai #TFF ni Simba 100% sio ajabu nao utakuta wamefunga ofisi kuomboleza kichapo cha goli tano, kati ya Tff zote hii ndio imeshindwa kuficha mapenzi kwa kitoto chao kipenzi Simba.
Simple calculation timu zote zimecheza Jumapili ila ajabu Yanga inayoenda kucheza ugenini wanacheza kesho wakati Simba wakiwa nyumbani wanacheza keshokutwa ukiangalia Yanga ndio walikua na gemu ngumu zaidi kuliko Simba kwa hapa Tff imembeba Simba, ratiba hii inamtengenezea Simba mazingira mazuri sana ya kiupendeleo kuibuka na ushindi huku wakitaka Yanga ipoteze gemu zake.
Chini ya Tff hii wamekua wakiifanyia Yanga figisu za kila aina ili ishindwe bahati nzuri sana Yanga imekua na viongozi shupavu chini ya Rais kijana Eng Hersi na mashabiki shupavu hili limesaidia kuruka vikwazo na viunzi vyote vya Tff kama Yanga angekua legelege hakika angetema pointi zote.
Hata siku moja giza halijawahi kuishinda Nuru.
Roma ikisema imesema
Hata IHEFU?Yanga hili tunalijua kitambo, na ndio maana tuna wapelekea moto kisawa sawa kila atakaye katisha mbele..
Simba anacheza kesho kutwa na atacheza jumamosi mkuu. Hapo vipi?
Hata SimbaHata IHEFU?
Ni sawa hatukatai #TFF ni Simba 100% sio ajabu nao utakuta wamefunga ofisi kuomboleza kichapo cha goli tano, kati ya Tff zote hii ndio imeshindwa kuficha mapenzi kwa kitoto chao kipenzi Simba.
Simple calculation timu zote zimecheza Jumapili ila ajabu Yanga inayoenda kucheza ugenini wanacheza kesho wakati Simba wakiwa nyumbani wanacheza keshokutwa ukiangalia Yanga ndio walikua na gemu ngumu zaidi kuliko Simba kwa hapa Tff imembeba Simba, ratiba hii inamtengenezea Simba mazingira mazuri sana ya kiupendeleo kuibuka na ushindi huku wakitaka Yanga ipoteze gemu zake.
Chini ya Tff hii wamekua wakiifanyia Yanga figisu za kila aina ili ishindwe bahati nzuri sana Yanga imekua na viongozi shupavu chini ya Rais kijana Eng Hersi na mashabiki shupavu hili limesaidia kuruka vikwazo na viunzi vyote vya Tff kama Yanga angekua legelege hakika angetema pointi zote.
Hata siku moja giza halijawahi kuishinda Nuru.
Roma ikisema imesema
Na timu gani ?Simba anacheza kesho kutwa na atacheza jumamosi mkuu. Hapo vipi?
Yaaap tumepiga kono la nyaaaniYanga hili tunalijua kitambo, na ndio maana tuna wapelekea moto kisawa sawa kila atakaye katisha mbele..
Mkuu unavyoandika madini namna hii!! Kwa hiyo unataka zichezee Siku moja au simba sc wacheze kwanza then yanga. Hatutafika tunakotakiwa kufika.Ni sawa hatukatai #TFF ni Simba 100% sio ajabu nao utakuta wamefunga ofisi kuomboleza kichapo cha goli tano, kati ya Tff zote hii ndio imeshindwa kuficha mapenzi kwa kitoto chao kipenzi Simba.