Kwanini Yanga na Singida wapo kambi moja Tanga?

Wakati Ngao ya jamii inaanza Yanga Singida walikuwa kambi moja na kufanya mazoezi pamoja.

Hii ni match fixing kama zingine tu. Je, kwenye ligi wanapokutana lazima Singida waachie, ndo maana mechi ya Yanga na Singida lazima Yanga washinde.

Nakumbuka msimu uliopita Singida walifungwa na Yanga halafu wakapost, sisi tumefungwa na Yanga kwanini wengine waumie.

Msimu huu tusitegemee mechi ya ushindani kati ya hawa ndugu wa tumbo moja.
Hapo Mmoja alikuwa ni Mke na Mwingine ni Mume hivyo kuwa pamoja ni Wajibu wao Kimahaba.
 
Wakati Ngao ya jamii inaanza Yanga Singida walikuwa kambi moja na kufanya mazoezi pamoja.

Hii ni match fixing kama zingine tu. Je, kwenye ligi wanapokutana lazima Singida waachie, ndo maana mechi ya Yanga na Singida lazima Yanga washinde.

Nakumbuka msimu uliopita Singida walifungwa na Yanga halafu wakapost, sisi tumefungwa na Yanga kwanini wengine waumie.

Msimu huu tusitegemee mechi ya ushindani kati ya hawa ndugu wa tumbo moja.
Masikini siku zote malalamiko hayaishi. Pambana timu yako ishinde vinginevyo malalamiko hayataisha.
 
Wakati Ngao ya jamii inaanza Yanga Singida walikuwa kambi moja na kufanya mazoezi pamoja.

Hii ni match fixing kama zingine tu. Je, kwenye ligi wanapokutana lazima Singida waachie, ndo maana mechi ya Yanga na Singida lazima Yanga washinde.

Nakumbuka msimu uliopita Singida walifungwa na Yanga halafu wakapost, sisi tumefungwa na Yanga kwanini wengine waumie.

Msimu huu tusitegemee mechi ya ushindani kati ya hawa ndugu wa tumbo moja.
Nakumbuka msimu uliopita Singida walifungwa na Yanga halafu wakapost, sisi tumefungwa na Yanga kwanini wengine waumie.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nionavyo kabla ligi haijaanza lakini Yanga tayari ina uhakika wa kupata pointi 18 kutoka kwenye vilabu vya Singida FG, Dodoma jiji, na Tabora United. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mpira wa Tanzania utagundua yanga ina uhusiano mzuri usio rasmi na hizi timu wenye malengo ya kuinufaisha yanga zaidi.
 
Wakati huo huo Simba nasi tuna uhakika wa moja kwa moja kuvuna points 24 kutoka timu nne zenye mahusiano mazuri nazo, ambazo ni Azam, KMC, Namungo na Coastal Union.

Hii imekaaje ndugu?
 
Back
Top Bottom