Hapo Mmoja alikuwa ni Mke na Mwingine ni Mume hivyo kuwa pamoja ni Wajibu wao Kimahaba.Wakati Ngao ya jamii inaanza Yanga Singida walikuwa kambi moja na kufanya mazoezi pamoja.
Hii ni match fixing kama zingine tu. Je, kwenye ligi wanapokutana lazima Singida waachie, ndo maana mechi ya Yanga na Singida lazima Yanga washinde.
Nakumbuka msimu uliopita Singida walifungwa na Yanga halafu wakapost, sisi tumefungwa na Yanga kwanini wengine waumie.
Msimu huu tusitegemee mechi ya ushindani kati ya hawa ndugu wa tumbo moja.