Kwanini YANGA wanadai wameshinda mara 27 lakini uhalisi ni mara 22?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Nimepitia mitandao mingi ya uhakika inayoweka kumbukumbu za ubingwa wa soccer duniani. Kumbukumbu hizo zinaonesha Yanga kachukua ubingwa mara 22. Nimeweza kuenda kwenye website ya Yanga nao pia wameweka Title mara 27 lakini miaka waliyoiorodhesha inaishia 22.

Je, lengo la yanga kutunga na kueneza taarifa za uongo lengo lao ni nini!?

Je tunaweza kusema wameshindwa kushindana kwenye mpira na wameamua kuegemea kwenye propaganda!? Au wamewaona mashabiki wao hawana upeo wa kuweza kufuatilia mambo.

Bado najiuliza ni lengo lipi la Yanga kueneza uongo huu na mashabiki wao wameuamini. Na wanahabari wengi sana wameamini propaganda hizi na wanazieneza.

Nimeweka kiambatishi hapa:-


Vilevile kutoka kwenye shirika linaloweka record za soccer duniani

RSSSF Hizi hapa:-

 
Hao ndio The Return of Champions.
Kuongopa kwao sio tatizo ilimradi wawafurahishe mashabiki
 
Yanga ya miaka hii inaongozwa na waswahili waliowekeza sana kwenye propaganda.

Mtu kama mzee Mpili na Bugati ndio karata zao ziliyobaki unategemea nini?
 
Wewe ni dogo wa juzi tu.. uliza kwa wakubwa wakupe shule... Maana unakuja kuhoji non-sensitive kabisa
 
Kuna uwezekano mkubwa sana hata TFF hawana taarifa rasmi kuhusiana na record hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…