Kwanini Yanga wanapenda dezo dezo?

Mmezoea kuzamia shughuli zisizowahusu Sasa kiingilio ni jezi ya yanga utajua utainunua shingapi ili uje uwanjani, hii ni operesheni ondoa mbumbumbu kwenye shughuli zisizowahusu, ukinunua jezi utakuwa umeichangia yanga pakubwa na usipokuja vile vile uwanjani tutakuwa tumekuondoa kijanja maana nyie ndiyo mnakuja kuvunja viti na kuleta vurugu Kisha mnajificha kwenye mgongo wa mashabiki wa yanga safari hii iyo nafasi akuna!
 
Makolo mmezoea kuingia uwanjani kuwashangilia wapinzani. Hakuna tena hiyo kesho.
Halafu kwa hii miaka 2 sijaona ile kamati yetu ya mapokezi ikitimiza majukumu yake ipasavyo? Nini kimeikumba hii kamati? Maana kuna timu zikija kucheza na simba sasa hivi zinaangaika Sana pale Airport mapokezi fc hawapo.
Tafadhali hii kamati tunaiomba irudi mara Moja kwenye majukumu yake kuepusha usumbufu kwa wageni
 
Na hakika wapenda vya bure wengi wana elements za ke
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. Kuna kichaa mmoja atakuja kununua tiketi zote katika derby halafu atasema bila jezi ya timu yangu hauingii uwanjani au atasema bila kuonyesha kadi hai ya uanachama haupati tiketi
 
Mbumbumbu jiangalie ukute una mimba changa inakuchanganya akili
 
huna hoja
Huna akili
Unapenda dezo
 
Huna hoja ,hiyo jezi nikiwa nayo ya mwaka juzi ile yenye atlas?
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. Kuna kichaa mmoja atakuja kununua tiketi zote katika derby halafu atasema bila jezi ya timu yangu hauingii uwanjani au atasema bila kuonyesha kadi hai ya uanachama haupati tiketi
Yeye anapata nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…