Kwanini Yanga wanapenda dezo dezo?

Kwanini Yanga wanapenda dezo dezo?

Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na kispika mashabiki wao watakuja tu wenyewe uwanjani.

Juzi wametangaza kiingilio ni bure ila uwe na jezi original but ni kuzuga tu ila bure mageti yatafunguliwa hamna atakayeweza kuhakiki hizo jezi, kwanza usalama utakuwa mdogo maana ni bure mashabiki watajaa lazima warukute mageti au kuyavunja.

Walipowafunga Simba wakagawa supu bure ,walijaa jangwani kufuata supu.

Kwani mashabiki wa hii timu wanapenda dezo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmezoea kuzamia shughuli zisizowahusu Sasa kiingilio ni jezi ya yanga utajua utainunua shingapi ili uje uwanjani, hii ni operesheni ondoa mbumbumbu kwenye shughuli zisizowahusu, ukinunua jezi utakuwa umeichangia yanga pakubwa na usipokuja vile vile uwanjani tutakuwa tumekuondoa kijanja maana nyie ndiyo mnakuja kuvunja viti na kuleta vurugu Kisha mnajificha kwenye mgongo wa mashabiki wa yanga safari hii iyo nafasi akuna!
 
Makolo mmezoea kuingia uwanjani kuwashangilia wapinzani. Hakuna tena hiyo kesho.
Halafu kwa hii miaka 2 sijaona ile kamati yetu ya mapokezi ikitimiza majukumu yake ipasavyo? Nini kimeikumba hii kamati? Maana kuna timu zikija kucheza na simba sasa hivi zinaangaika Sana pale Airport mapokezi fc hawapo.
Tafadhali hii kamati tunaiomba irudi mara Moja kwenye majukumu yake kuepusha usumbufu kwa wageni
 
Acha uRage basi....

Ebu fikiria kidogo, upate uelewa!

Thamani ya Jezi za Yanga zilivyo ghali...na jinsi mashabiki wa Yanga walivyozinunua kwa wingi kwa misimu hii ya mafanikio...( Elfu 35,40,mpaka50 na kuendelea) hii unaita bure

Viongozi wa Yanga wameona thamani ya mashabiki Yanga nakuamua kuweka kiingilio kiwe Jezi Og... we ndio unaita Bure hii!?

Kuwachinjia Ng'ombe na kuwakaribisha supu ni kuwathamini mashabiki wao....ila we kijana wa Rage unaita Bure. ebu punguza umbumbumbu

Kijana wa Rage unajielewa kweli!?

Yanga Wana Akili kubwa ktk hili,
Bure ni Shmbwa Fc na Usajili wa Manzoki ...hapa unaweza sema mashabiki wa umbumbumbuni Fc wanapenda Bure.

Nadhani umenielewa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Na hakika wapenda vya bure wengi wana elements za ke
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. Kuna kichaa mmoja atakuja kununua tiketi zote katika derby halafu atasema bila jezi ya timu yangu hauingii uwanjani au atasema bila kuonyesha kadi hai ya uanachama haupati tiketi
 
Mbumbumbu jiangalie ukute una mimba changa inakuchanganya akili
 
Acha uRage basi....

Ebu fikiria kidogo, upate uelewa!

Thamani ya Jezi za Yanga zilivyo ghali...na jinsi mashabiki wa Yanga walivyozinunua kwa wingi kwa misimu hii ya mafanikio...( Elfu 35,40,mpaka50 na kuendelea) hii unaita bure

Viongozi wa Yanga wameona thamani ya mashabiki Yanga nakuamua kuweka kiingilio kiwe Jezi Og... we ndio unaita Bure hii!?

Kuwachinjia Ng'ombe na kuwakaribisha supu ni kuwathamini mashabiki wao....ila we kijana wa Rage unaita Bure. ebu punguza umbumbumbu

Kijana wa Rage unajielewa kweli!?

Yanga Wana Akili kubwa ktk hili,
Bure ni Shmbwa Fc na Usajili wa Manzoki ...hapa unaweza sema mashabiki wa umbumbumbuni Fc wanapenda Bure.

Nadhani umenielewa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
huna hoja
Huna akili
Unapenda dezo
 
Kanunue Jezi ya Yanga Leo, ya Elfu 35 OG, ndio kiingilio chako ktk mechi Jtano, afu urudi hapa useme umeingia Bure au Dezo...

Kijana wa Rage vipi!?

Mashabiki wa Yanga wanathamani kubwa ktk Klabu na wanathaminiwa na Viongozi wa Yanga.

Huko umbumbumbuni Fc, mashabiki wa Simba alishatueleza Ndg, Rage kuhusu thamani yao.

Bado hoja huioni au tuseme Rage ana maono ya mbali sana kuhusu mashabiki wa Simba.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Huna hoja ,hiyo jezi nikiwa nayo ya mwaka juzi ile yenye atlas?
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. Kuna kichaa mmoja atakuja kununua tiketi zote katika derby halafu atasema bila jezi ya timu yangu hauingii uwanjani au atasema bila kuonyesha kadi hai ya uanachama haupati tiketi
Yeye anapata nini?
 
.
FB_IMG_1701840960728.jpg
 
Back
Top Bottom