Acha uRage basi....
Ebu fikiria kidogo, upate uelewa!
Thamani ya Jezi za Yanga zilivyo ghali...na jinsi mashabiki wa Yanga walivyozinunua kwa wingi kwa misimu hii ya mafanikio...( Elfu 35,40,mpaka50 na kuendelea) hii unaita bure
Viongozi wa Yanga wameona thamani ya mashabiki Yanga nakuamua kuweka kiingilio kiwe Jezi Og... we ndio unaita Bure hii!?
Kuwachinjia Ng'ombe na kuwakaribisha supu ni kuwathamini mashabiki wao....ila we kijana wa Rage unaita Bure. ebu punguza umbumbumbu
Kijana wa Rage unajielewa kweli!?
Yanga Wana Akili kubwa ktk hili,
Bure ni Shmbwa Fc na Usajili wa Manzoki ...hapa unaweza sema mashabiki wa umbumbumbuni Fc wanapenda Bure.
Nadhani umenielewa.
Sent from my M10_Max using
JamiiForums mobile app