Kwanini yule jamaa kila nafasi anayotafutiwa kukaa Watu wanamkataa?

Kwanini yule jamaa kila nafasi anayotafutiwa kukaa Watu wanamkataa?

Heshima kwenu wakuu.

Unajua, nimejiuliza sana hili swali ila sijapata jibu ndani yake kuhusu huyu jamaa juu ya positions zote anazojaribu kuwekwa, kwa nini watu wanamkataa wakuu...?

NAWASILISHA.
Jamaa ana upeo mdogo sana na watu wanaomjua ndio wanampiga vita jamaa kabobea kwenye udalali wa wanawake hamna position itakayo kuwa serious kumkubaki full stop..."BINADAMU UKIWEZA KUDALILIA MWENZAKO HAUKO MBALI KUJIDALALIA MWENYE PIA"
 
Back
Top Bottom