Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Anamaanisha Steve Nyerere, jamii haimtaki kabisa na sidhani hata mkewe anamtakaWanamuona chenga
Ingawa mleta mada hujasema Ni nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha Steve Nyerere, jamii haimtaki kabisa na sidhani hata mkewe anamtakaWanamuona chenga
Ingawa mleta mada hujasema Ni nani
Mkuu, tukubaki mabadiliko! Ingawa, enzi zile, ukitaka kuanzisha mada, au kuchangia, ilikubidi UJIPIME mara mbili mbili! Halafu, kuna Member ilikuwa hata wakikupa "LIKE" tu, basi unajiamini na ulichoandika!JF ilikuwa zamani sasa hivi ni biashara no principles.
Kikaao Cha wanamuziki kaenda muigizaji comed,kimbelembele kweli, aka mtafuta fursa.Ni mbaguzi, ni mtu wa visasi, ni mtu asietaka kupingwa, kimbele mbele, n.k.
Wasimuweke, apigiwe kura na apite kwa kushinda na si vingine.positions zote anazojaribu kuwekwa, kwa nini watu wanamkataa?
Niache Nteseke una undugu na stivuu😂😂😂😂Mkuu, sichukui soda tu nachukua Soda, Energy, Safari na Vanga na vyote utalipa wewe Engineer...!
Sirudii hiyo. Imeisha mkuu.
Kikaao Cha wanamuziki kaenda muigizaji comed,kimbelembele kweli, aka mtafuta fursa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu, tukubaki mabadiliko! Ingawa, enzi zile, ukitaka kuanzisha mada, au kuchangia, ilikubidi UJIPIME mara mbili mbili! Halafu, kuna Member ilikuwa hata wakikupa "LIKE" tu, basi unajiamini na ulichoandika!
Masikini washamnyima mkate wake naskia ameshajiuzulu Duuh
Itakuwa tuhuma za kula rambirambi wanaona hashindwi kufanya lolote wakati wowote ili tu awapige.
Dogo jiheshimu huyu ni my wangu ,ntakutoa bushaNitakupigia kukwambia ni nani my dear...!
💕
Nimeona Twitter huko yaan wamemkamia mpaka katema nyongo mwwnyeweUnachosema ni kweli mkuu...?
Nimeona Twitter huko yaan wamemkamia mpaka katema nyongo mwwnyewe