Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Maake apo ngoja kwanz nichekee๐๐๐๐๐
๐๐๐๐Chukua soda ntalipa mkuuYaani ni bora ucheke kuliko U Niache Nteseke mkuu...!
Huyu inabidi atumie chumvi ya mawe ile ya mshana aondoe gundu
๐๐๐๐Chukua soda ntalipa mkuu
Ni nani huyo kabla hatujacomment
watutajie na sie tumjueJamaa gani?
Aah si utuambie wote lkn , taja ni nani tutoe reserved comments zetu๐Nitakupigia kukwambia ni nani my dear...!
๐
Jamaa ana upeo mdogo sana na watu wanaomjua ndio wanampiga vita jamaa kabobea kwenye udalali wa wanawake hamna position itakayo kuwa serious kumkubaki full stop..."BINADAMU UKIWEZA KUDALILIA MWENZAKO HAUKO MBALI KUJIDALALIA MWENYE PIA"Heshima kwenu wakuu.
Unajua, nimejiuliza sana hili swali ila sijapata jibu ndani yake kuhusu huyu jamaa juu ya positions zote anazojaribu kuwekwa, kwa nini watu wanamkataa wakuu...?
NAWASILISHA.