Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol,

Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa akifoka "bora ungenitukana mama kuliko kumtukana mama yangu...:

Siku hizi naona watu wanatukaniana mama zao lakini ugomvi wa kawaida tu.
 
Back
Top Bottom