Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Nisiwachoshe.

Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara.

Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8.

IMG_2955.png
IMG_2956.png


Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus Stop kwa Dar es Salaam, karibia kilometa sawa bei inakua ndogo sana.
IMG_2958.png
IMG_2957.png

Kitaalamu imekaaje wakati tunatumia currency sawa?
 
Mafuta wao yapo juu tofauti na uku af uko gari zao za private ni alphard so ukitaka gari lazima ukodi alphard sasa kukodisha ilo gar bei na ipo juu
 
Back
Top Bottom