Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara.
Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8.
Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus Stop kwa Dar es Salaam, karibia kilometa sawa bei inakua ndogo sana.
Kitaalamu imekaaje wakati tunatumia currency sawa?