Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchekeshaji ambae yupo successfull wakati wetu Abdallah Nzunda aka Mkojani aka Daruwesh si ndio lafudhi yake hio iliomtoa kisanaa?
Comedy ni sanaa ya kale sana kabla hata watu hawajaanza kulipwa. Huko Ulaya ya kale kabla ya uwepo wa demokrasia satire ndio iliyotumika zaidi kukosoa watawala.kuchekesha ni kazi ya kipuuzi, ni moja ya mambo yanodhihirisha utumwa wa mwanadamu kwa kwenye kitu kinachoitwa pesa.
Sasa hivi wana comedy wao wengi kule, issue ni kwamba kule kuna lipa kuliko huku, why mtu atoke kule aje kufanya biashara huku? Wana target watalii kule
View: https://www.instagram.com/zanzibar_comedy_club/reel/DCmJcktSfMR/
Yapo mazingaombwe ya Comedy, na yapo trendy sana siku hizi unless wewe sio mdau wa talent shows.Haya ni mazingaombwe, sio comedy.
Yah naongelea tu hio lafudhi, sababu huyo nilio mquote Ali target lafudhiAbdallah Nzunda, hii Nzunda nafikiri asili yake ni Mbozi, Songwe.
🤝🤝Yah naongelea tu hio lafudhi, sababu huyo nilio mquote Ali target lafudhi
Ndio kusema humjui hata mau mpemba?Sasa Wazenji watachekeshaje na ile lafudhi yao
Wao ni katika waasisi wa comedy Nchi hii wakati King Majuto anaanza Comedy Tanga alikua na mwenzake Anaitwa kwa jina la kisanii "Mangush" kutokea huko visiwani.
Sasa hivi wana comedy wao wengi kule, issue ni kwamba kule kuna lipa kuliko huku, why mtu atoke kule aje kufanya biashara huku? Wana target watalii kule
View: https://www.instagram.com/zanzibar_comedy_club/reel/DCmJcktSfMR/
Hiyo tuzo amepewa mama abdulUnasema zanzibar hakuna comedian!!!
Mbona nimesikia kwamba kuna mchekeshaji mzanzibar amepewa tuzo ya champion of comedy ?
Kwamba wazanzibari hawajui kiswahili?
Tupo serious na maishaTangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
Nikukute kituoni!!!Unasema zanzibar hakuna comedian!!!
Mbona nimesikia kwamba kuna mchekeshaji mzanzibar amepewa tuzo ya champion of comedy ?
Mzanzibar akichekesha Kwa lafudhi yake anaweza hisiwa shogaKama Wasukuma na Wambeya wameweza kuchekesha na lafudhi zao basi hata Wazanzibar wataweza.
😂😂😂 Daah, Halikuniki anakwambia Alif awali ya mapenzi. Be baina yetu mimi na wewe. Te taabani kwako sijiwezi. The thawabu utapata mwenzangu ukinikubalia. Ni mpuuzi sana yule mzee.Makombora. Halikuniki
Makachu ipo sana sema haijapostiwa mitandaoni. Mwaka 1993 nikiwa shule ya msingi Lambo, Machame kuna sehemu mto weruweru tulikuwa tunafanya kama wanachofanya Zanzibar (makachu)....Mbona huku Bara tuna mabwawa, mito, maziwa na bahari teletele, lakini hakuna Makachu? Nafikiri kupanga ni kuchagua.