Kwanini Zanzibar hakuna comedians?

Kwanini Zanzibar hakuna comedians?

kuchekesha ni kazi ya kipuuzi, ni moja ya mambo yanodhihirisha utumwa wa mwanadamu kwa kwenye kitu kinachoitwa pesa.
Comedy ni sanaa ya kale sana kabla hata watu hawajaanza kulipwa. Huko Ulaya ya kale kabla ya uwepo wa demokrasia satire ndio iliyotumika zaidi kukosoa watawala.
 
Tatizo hakuna umeme na internet pia watu wanapigwa na maisha muda wa kucheka watautoa wapi?
 
Mbona huku Bara tuna mabwawa, mito, maziwa na bahari teletele, lakini hakuna Makachu? Nafikiri kupanga ni kuchagua.
Makachu ipo sana sema haijapostiwa mitandaoni. Mwaka 1993 nikiwa shule ya msingi Lambo, Machame kuna sehemu mto weruweru tulikuwa tunafanya kama wanachofanya Zanzibar (makachu)....
 
Watu wa pwani wanaiga tu hata kuimba ,mpira sio vyao hivyo hao wape tende na ulojo na umbea juu yakhee!!😁😁😁
 
Back
Top Bottom