Rais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa na sababu wanazoona za msingi kwa mitizamo yao, lakini kwa nini Rais Zelenskyy naye achukiwe na kulalamikiwa kwa kutetea nchi yake kisa tu eti wanaomuunga mkono na kumsaidia ni USA na washirika wake.
Rais Putin kaenda mbali zaidi na kusema kuwa wanaomsaidia Ukraine wanarefusha vita (Prolong the war). Kwa nini Putin alalamike kuwa vita imekuwa ndefu. Yeye alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani.
Wanayoiunga Ukraine na kuisaidia ni wengi zikiwemo nchi zote za EU. Nafika mahala najiuliza maswali mengi sana. Machache nitayauliza na mengine mtaongezea;
1. Kwa nini Rais Zelenskyy analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin dhidi ya nchi yake.
2. Je, Putin na Pro Russia wanaamini kuwa Ukraine haina haki ya kujilinda na kupigania nchi yake?
3. Je, Rais Zelenskyy kafanya kosa kuamuru majeshi yake yapigane na Russia kutetea uhuru wake na kulinda mipaka yake?
4. Putin alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani mpaka afike mahala alalamike kuwa vita inarefushwa?
5. Kwa nini lawama zote anapewa USA huku akijumuishwa na NATO ili hali wanayoiunga mkono Ukraine na kuisaidia wako wengi?
6. Kwa nini hatusikii lawama nyingi zikielekezwa kwa German, Ufaransa, UK, Turkey, Italy na wengine wakati wote hawa wanatoa silaha kuisaidia Ukraine?
7. Kwa nini Rais Putin na Pro Russia wanamlaumu sana Rais Zelensky kwa kusaidiwa na USA.
8. Je, Putin na Pro Russia walitaka Ukraine asisaidiwe na marafiki zake kutetea na kupigania nchi yake?
9. Je, Rais Putin wakati anatangaza kuivamia Ukraine hakujua kuwa Ukraine ni nchi na ina nchi marafiki akiwemo USA ambao wanaweza kumsaidia kama ilivyo desturi ya mwanadamu kuwa rafiki yako au ndugu yako akipatwa na matatizo lazima umsaidie?
10. Kwa nini Putin kila hotuba yake anailaumu sana NATO huku akijua kuwa NATO ni mbwa tu wa USA na EU? Kwanini asihangaike na mwenye mbwa kuliko mbwa mwenyewe.
Tunahitaji kutafakari na kupata majibu ya haya maswali ili tujifunze zaidi. Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari atusaidie. Tunahitaji tu majibu siyo porojo na propaganda na matusi.