Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Trump hawezi kumaliza vita hizo ni Polimilai tuTrump atataka kumaliza vita mapema sana na akishindwa kabisa vita itaendelea kwa nguvu zaidi kuliko sasa. Trump sio mtu wa uvuguguvu, ni ama moto ama baridi.
Kumbuka Marekani haiendeshwi na sera za mtu binafsi bali chama na nchi ila mara nyingi Republicans hawapendi vita na Democrats hawaoni shida kwenda vitani, mara nyingi Rep wakiingia vitani ujue hiyo ni vita ya lazima na itakuwa kubwa
Ana ahadi ngapi ambazo kazishindwa?
Tena zile ambazo zilionekana rahisi kutekelezeka lakini alishindwa
What makes you think he would make it happen on this?