- Thread starter
- #81
Wanaotunga uongo huo ni Pro Russia wa Buza.Kwani kipindi Urusi alipoivamia Ukraine na kuichukua Crimea mbona Zelesky hakuwepo madarakani kipindi Urusi anawasaidia waasi wa luhask na Donesk wajitengee Ukraine mbona Zelesky hakuwepo madarakani mimi naona Urusi anatumia propaganda kuhalalisha Uvamizi wake nchini Ukraine aonekane mwema na amechokozwa na nyie wanafiki mnapeleka lawama kwa mwathiriwa na kumtetea mchokozi na mvamizi
Hawajui hata historia ya Ukraine kiutawala. Hawajui kuwa pale DONBAS mercenaries wa Russia wapo tangu 2014.