and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ila NATO wanafiki sana, Libya walikuja sasa sijui wale waasi wa Libya walikua wamejiunga na NATO, sasa hivi hawataki kujitangaza wanaingia Ukraine wamebaki kupigana vita indirect na Russia. Ila hao washenzi kwa uonevu waliofanya acha waaibike, US imemwaga sana damu za watu innocent wakishirikiana na hao EU kwa miaka na miaka. This time arround wamegusa pabaya.