Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hizo nchi zinazoisaidia Ukraine zinakataza nchi nyingine zisiisaidie urusi?
Vita itaisha,Swali Fikirishi , hivi Trump akishinda uchaguzi ujao , je hii vita itakoma au Itaendelea ?
Trump atataka kumaliza vita mapema sana na akishindwa kabisa vita itaendelea kwa nguvu zaidi kuliko sasa. Trump sio mtu wa uvuguguvu, ni ama moto ama baridi.Swali Fikirishi , hivi Trump akishinda uchaguzi ujao , je hii vita itakoma au Itaendelea ?
Umeniacha mdomo wazi. Nilipoona maelezo mengi nikajua unajibu maswali niliyouliza. Kumbe uliyoandika ni nje ya mada hii (Out of the context for this post). Imebidi nirudi kwenye maswali lakini sikuona swali ulilojibu.Kama ingekuwa unatafuta knowledge kabla ya kuandika usingeuliza maswali mengine ya kawaida.
Nakujibu swali lako unalosema kuwa Russia analalamika operation ina endelezwa kwa muda refu.
Jibu ni kuwa Russia hajawahi kusema hiyo statement wala kulalamika bali USA & Allies ndio wanalalamika wakimtaka Russia asitishe operation hiyo-ambapo naye aliwajibu waache kumpa Ukraine silaha.
Hata Ukraine angesaidiwa na mataifa yote duniani,haiwezi kusialidia chochote maana Russia ni taifa linalojiweza kijeshi na kiuchumi.
1.Wanaopigana na Ukraine ni maaskari wa Kampuni za ulinzi kama hapa Tz uchukue wale maaskari wa G4S,huku Ukraine wanapigana Wanajeshi wa Nchi.
2.Russia vifaa vya kijeshi anavyotumia ni stock ya miaka 1960-1980 na kwa Mara chache sana wakichanganya na silaha za current generation.
3.Russia ni Taifa la kwanza Duniani kuwa na resources nyingi,resources zake kila mmoja anazihitaji hapa Duniani include hao west na USA-so kwa vyovyote vile cash inflow hawezi kukosekana.
4.finanally,Russia ina nuklia-akishindwa vyote hivyo anaweza kutumia.
So kwa vyovyote vile at the end ni Ukraine & west ndio watapoteza,ni tahira pekee ndio anaweza akasema Ukraine atawini hiyo operation.
Hii tweet pale Twitter ipo mpaka sasa?Suala la zelensky kuiingiza Ukraine kwnyw machafuko lilikua suala la muda TU tangu zelensky kipind hicho hajawa hata raisi.
Kwa taarifa yako, zelensky alishakua agent wa CIA tangu kipind anasoma mpk Anafanya uchekeshaji Kisha kuingia Kwny siasa.
Zelensky ndo Alikua kiongozi wa mapinduzi ya 2014 kule Ukraine kwa kivuli Cha USA, kuingoa serikali pro Russia ya raisi aliyekua madarakani.
Lengo la zelensky kua raisi, Ni maksudi alisukwa ili aje kutumika kuiangusha russia.
Ndo maana baada ya zelensky kua raisi zikaanza reforms MBALIMBALI pale Ukraine na kulijengea uwezo mkubwa jeshi la Ukraine na kwa Kasi Sana ili lije kupambana na jeshi la Russia endapo wataingia vitani.
Kabla ya uvamizi, ulaya nzima hakuna jeshi lililkua na uwezo mkubwa was kijeshi kuzidi au hata kulingana na Ukraine.
Ujue hata Waukraine wenyewe walishapiga Sana kelele zelensky asiwe raisi wa nchi ila wakapuuzwa, ubabe ubabe wa USA na demokrasia ya mchongo akajikuta keshakua raisi[emoji4]
Soma Hii tweet hapa Chini wizara ya ulinzi inalalamika Miaka hiyo[emoji116]View attachment 2633558
Duuh ee bwana eeeh.Suala la zelensky kuiingiza Ukraine kwnyw machafuko lilikua suala la muda TU tangu zelensky kipind hicho hajawa hata raisi.
Kwa taarifa yako, zelensky alishakua agent wa CIA tangu kipind anasoma mpk Anafanya uchekeshaji Kisha kuingia Kwny siasa.
Zelensky ndo Alikua kiongozi wa mapinduzi ya 2014 kule Ukraine kwa kivuli Cha USA, kuingoa serikali pro Russia ya raisi aliyekua madarakani.
Lengo la zelensky kua raisi, Ni maksudi alisukwa ili aje kutumika kuiangusha russia.
Ndo maana baada ya zelensky kua raisi zikaanza reforms MBALIMBALI pale Ukraine na kulijengea uwezo mkubwa jeshi la Ukraine na kwa Kasi Sana ili lije kupambana na jeshi la Russia endapo wataingia vitani.
Kabla ya uvamizi, ulaya nzima hakuna jeshi lililkua na uwezo mkubwa was kijeshi kuzidi au hata kulingana na Ukraine.
Ujue hata Waukraine wenyewe walishapiga Sana kelele zelensky asiwe raisi wa nchi ila wakapuuzwa, ubabe ubabe wa USA na demokrasia ya mchongo akajikuta keshakua raisi[emoji4]
Soma Hii tweet hapa Chini wizara ya ulinzi inalalamika Miaka hiyo[emoji116]View attachment 2633558
Mkuu sijui kama kuna mwenye majibu,hata putin mwenyewe majibu hana.Rais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa na sababu wanazoona za msingi kwa mitizamo yao, lakini kwa nini Rais Zelenskyy naye achukiwe na kulalamikiwa kwa kutetea nchi yake kisa tu eti wanaomuunga mkono na kumsaidia na USA na washirika wake.
Rais Putin kaenda mbali zaidi na kusema kuwa wanaomsaidia Ukraine wanarefusha vita (Prolong the war). Kwa nini Putin alalamike kuwa vita imekuwa ndefu. Yeye alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani.
Wanayoiunga Ukraine na kuisaidia ni wengi zikiwemo nchi zote za EU. Nafika mahala najiuliza maswali mengi sana. Machache nitayauliza na mengine mtaongezea;
1. Kwa nini Rais Zelenskyy analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin dhidi ya nchi yake.
2. Je, Putin na Pro Russia wanaamini kuwa Ukraine haina haki ya kujilinda na kupigania nchi yake?
3. Je, Rais Zelenskyy kafanya kosa kuamuru majeshi yake yapigane na Russia kutetea uhuru wake na kulinda mipaka yake?
4. Putin alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani mpaka afike mahala alalamike kuwa vita inarefushwa?
5. Kwa nini lawama zote anapewa USA huku akijumuishwa na NATO ili hali wanayoiunga mkono Ukraine na kuisaidia wako wengi?
6. Kwa nini hatusikii lawama nyingi zikielekezwa kwa German, Ufaransa, UK, Turkey, Italy na wengine wakati wote hawa wanatoa silaha kuisaidia Ukraine?
7. Kwa nini Rais Putin na Pro Russia wanamlaumu sana Rais Zelensky kwa kusaidiwa na USA.
8. Je, Putin na Pro Russia walitaka Ukraine asisaidiwe na marafiki zake kutetea na kupigania nchi yake?
9. Je, Rais Putin wakati anatangaza kuivamia Ukraine hakujua kuwa Ukraine ni nchi na ina nchi marafiki akiwemo USA ambao wanaweza kumsaidia kama ilivyo desturi ya mwanadamu kuwa rafiki yako au ndugu yako akipatwa na matatizo lazima umsaidie?
10. Kwa nini Putin kila hotuba yake anailaumu sana NATO huku akijua kuwa NATO ni mbwa tu wa USA na EU? Kwanini asihangaike na mwenye mbwa kuliko mbwa mwenyewe.
Tunahitaji kutafakari na kupata majibu ya haya maswali ili tujifunze zaidi. Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari atusaidie. Tunahitaji tu majibu siyo porojo na propaganda na matusi.
Subiri majihadinisti waje utaoga matusiRais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa na sababu wanazoona za msingi kwa mitizamo yao, lakini kwa nini Rais Zelenskyy naye achukiwe na kulalamikiwa kwa kutetea nchi yake kisa tu eti wanaomuunga mkono na kumsaidia na USA na washirika wake.
Rais Putin kaenda mbali zaidi na kusema kuwa wanaomsaidia Ukraine wanarefusha vita (Prolong the war). Kwa nini Putin alalamike kuwa vita imekuwa ndefu. Yeye alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani.
Wanayoiunga Ukraine na kuisaidia ni wengi zikiwemo nchi zote za EU. Nafika mahala najiuliza maswali mengi sana. Machache nitayauliza na mengine mtaongezea;
1. Kwa nini Rais Zelenskyy analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin dhidi ya nchi yake.
2. Je, Putin na Pro Russia wanaamini kuwa Ukraine haina haki ya kujilinda na kupigania nchi yake?
3. Je, Rais Zelenskyy kafanya kosa kuamuru majeshi yake yapigane na Russia kutetea uhuru wake na kulinda mipaka yake?
4. Putin alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani mpaka afike mahala alalamike kuwa vita inarefushwa?
5. Kwa nini lawama zote anapewa USA huku akijumuishwa na NATO ili hali wanayoiunga mkono Ukraine na kuisaidia wako wengi?
6. Kwa nini hatusikii lawama nyingi zikielekezwa kwa German, Ufaransa, UK, Turkey, Italy na wengine wakati wote hawa wanatoa silaha kuisaidia Ukraine?
7. Kwa nini Rais Putin na Pro Russia wanamlaumu sana Rais Zelensky kwa kusaidiwa na USA.
8. Je, Putin na Pro Russia walitaka Ukraine asisaidiwe na marafiki zake kutetea na kupigania nchi yake?
9. Je, Rais Putin wakati anatangaza kuivamia Ukraine hakujua kuwa Ukraine ni nchi na ina nchi marafiki akiwemo USA ambao wanaweza kumsaidia kama ilivyo desturi ya mwanadamu kuwa rafiki yako au ndugu yako akipatwa na matatizo lazima umsaidie?
10. Kwa nini Putin kila hotuba yake anailaumu sana NATO huku akijua kuwa NATO ni mbwa tu wa USA na EU? Kwanini asihangaike na mwenye mbwa kuliko mbwa mwenyewe.
Tunahitaji kutafakari na kupata majibu ya haya maswali ili tujifunze zaidi. Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari atusaidie. Tunahitaji tu majibu siyo porojo na propaganda na matusi.
Mvamizi anaesaidiwaga kwa mfano ulishawahi kumuona jambazi aliyevamia nyumba ya mtu kupora akasaidiwa?Kwanini hizo nchi zinazoisaidia Ukraine zinakataza nchi nyingine zisiisaidie urusi?
Zelensky analaumiwa kwa kukubali kufanywa mjinga/mpumbavu na USARais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa na sababu wanazoona za msingi kwa mitizamo yao, lakini kwa nini Rais Zelenskyy naye achukiwe na kulalamikiwa kwa kutetea nchi yake kisa tu eti wanaomuunga mkono na kumsaidia na USA na washirika wake.
Rais Putin kaenda mbali zaidi na kusema kuwa wanaomsaidia Ukraine wanarefusha vita (Prolong the war). Kwa nini Putin alalamike kuwa vita imekuwa ndefu. Yeye alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani.
Wanayoiunga Ukraine na kuisaidia ni wengi zikiwemo nchi zote za EU. Nafika mahala najiuliza maswali mengi sana. Machache nitayauliza na mengine mtaongezea;
1. Kwa nini Rais Zelenskyy analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin dhidi ya nchi yake.
2. Je, Putin na Pro Russia wanaamini kuwa Ukraine haina haki ya kujilinda na kupigania nchi yake?
3. Je, Rais Zelenskyy kafanya kosa kuamuru majeshi yake yapigane na Russia kutetea uhuru wake na kulinda mipaka yake?
4. Putin alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani mpaka afike mahala alalamike kuwa vita inarefushwa?
5. Kwa nini lawama zote anapewa USA huku akijumuishwa na NATO ili hali wanayoiunga mkono Ukraine na kuisaidia wako wengi?
6. Kwa nini hatusikii lawama nyingi zikielekezwa kwa German, Ufaransa, UK, Turkey, Italy na wengine wakati wote hawa wanatoa silaha kuisaidia Ukraine?
7. Kwa nini Rais Putin na Pro Russia wanamlaumu sana Rais Zelensky kwa kusaidiwa na USA.
8. Je, Putin na Pro Russia walitaka Ukraine asisaidiwe na marafiki zake kutetea na kupigania nchi yake?
9. Je, Rais Putin wakati anatangaza kuivamia Ukraine hakujua kuwa Ukraine ni nchi na ina nchi marafiki akiwemo USA ambao wanaweza kumsaidia kama ilivyo desturi ya mwanadamu kuwa rafiki yako au ndugu yako akipatwa na matatizo lazima umsaidie?
10. Kwa nini Putin kila hotuba yake anailaumu sana NATO huku akijua kuwa NATO ni mbwa tu wa USA na EU? Kwanini asihangaike na mwenye mbwa kuliko mbwa mwenyewe.
Tunahitaji kutafakari na kupata majibu ya haya maswali ili tujifunze zaidi. Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari atusaidie. Tunahitaji tu majibu siyo porojo na propaganda na matusi.
Mi sio mtu ambaye nipo deep kwenye haya maswala ya vita lakini kuamini maneno ya Trump kuwa ataimaliza vita ndani ya masaa 24 ni uongo na siasa tu.Swali Fikirishi , hivi Trump akishinda uchaguzi ujao , je hii vita itakoma au Itaendelea ?
Kwa hilo sikubakiani na nyinyi labda kama mnamuongelea the black Trump.Vita itaisha,
Trump alishaachana na siasa za Vita maana yeye mwnyw athari za Vita kiuchumi anazijua maana kajiwekeza Sana
Huyu kibabu Biden yeye kakulia jeshini na kwnyw siasa, anaishi kwa Kodi za wamarekani, atajua wapi athari za Vita kiuchumi.
Zaid ya kuchochea TU Moto watu waunguzane yeye anakula TU kwa Kodi[emoji4]
Kwani kipindi Urusi alipoivamia Ukraine na kuichukua Crimea mbona Zelesky hakuwepo madarakani kipindi Urusi anawasaidia waasi wa luhask na Donesk wajitengee Ukraine mbona Zelesky hakuwepo madarakani mimi naona Urusi anatumia propaganda kuhalalisha Uvamizi wake nchini Ukraine aonekane mwema na amechokozwa na nyie wanafiki mnapeleka lawama kwa mwathiriwa na kumtetea mchokozi na mvamiziRais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa na sababu wanazoona za msingi kwa mitizamo yao, lakini kwa nini Rais Zelenskyy naye achukiwe na kulalamikiwa kwa kutetea nchi yake kisa tu eti wanaomuunga mkono na kumsaidia na USA na washirika wake.
Rais Putin kaenda mbali zaidi na kusema kuwa wanaomsaidia Ukraine wanarefusha vita (Prolong the war). Kwa nini Putin alalamike kuwa vita imekuwa ndefu. Yeye alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani.
Wanayoiunga Ukraine na kuisaidia ni wengi zikiwemo nchi zote za EU. Nafika mahala najiuliza maswali mengi sana. Machache nitayauliza na mengine mtaongezea;
1. Kwa nini Rais Zelenskyy analaumiwa kwa kuzuia uvamizi wa Putin dhidi ya nchi yake.
2. Je, Putin na Pro Russia wanaamini kuwa Ukraine haina haki ya kujilinda na kupigania nchi yake?
3. Je, Rais Zelenskyy kafanya kosa kuamuru majeshi yake yapigane na Russia kutetea uhuru wake na kulinda mipaka yake?
4. Putin alipoivamia Ukraine alipanga vita iwe kwa muda gani mpaka afike mahala alalamike kuwa vita inarefushwa?
5. Kwa nini lawama zote anapewa USA huku akijumuishwa na NATO ili hali wanayoiunga mkono Ukraine na kuisaidia wako wengi?
6. Kwa nini hatusikii lawama nyingi zikielekezwa kwa German, Ufaransa, UK, Turkey, Italy na wengine wakati wote hawa wanatoa silaha kuisaidia Ukraine?
7. Kwa nini Rais Putin na Pro Russia wanamlaumu sana Rais Zelensky kwa kusaidiwa na USA.
8. Je, Putin na Pro Russia walitaka Ukraine asisaidiwe na marafiki zake kutetea na kupigania nchi yake?
9. Je, Rais Putin wakati anatangaza kuivamia Ukraine hakujua kuwa Ukraine ni nchi na ina nchi marafiki akiwemo USA ambao wanaweza kumsaidia kama ilivyo desturi ya mwanadamu kuwa rafiki yako au ndugu yako akipatwa na matatizo lazima umsaidie?
10. Kwa nini Putin kila hotuba yake anailaumu sana NATO huku akijua kuwa NATO ni mbwa tu wa USA na EU? Kwanini asihangaike na mwenye mbwa kuliko mbwa mwenyewe.
Tunahitaji kutafakari na kupata majibu ya haya maswali ili tujifunze zaidi. Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari atusaidie. Tunahitaji tu majibu siyo porojo na propaganda na matusi.
Hata ChechnyaHata South Africa