Zamani resources zilikuwa limited.
Kabla hata watu hawajagundua mambo ya dini (Im talking miaka 10, 000 huko kurudi nyuma)
Watu waliishi kwa kuwinda na kufuga.
Watu walikuwa wanaishi kwa makundi kama wamasai vile.
Wakagundua ili wasurvive inabidi wacontrol kuzaliana..
Maana mkizaliana sana mtakosa chakula cha kuwalisha watoto.
Ndio hapo njia mojawapo ya kucontrol population ilikuwa ni kufanya sex iwe dhambi.
Kwahyo Dini zimekuja zikakuta tayari jamii nyingi zina hii mindset.
Dini zikaichukua hii mindset na kuikomelea kwenye maandiko.