Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
We unadhani ni kwa nini huwa wanahangaika saaaana kutafutia sababu watu ili wawaroge?Mkuu wewe ni mchawi au ulihadithiwa tu?
Hata wao hawataki dhambi ya kumuumiza mtu ambaye hajakukosea hata kidogo. Na anayerogwa kwa urahisi ni lazima awe na hatia 'afeel guilty' na aogope matokeo ya makosa yake.
So kwa picha nyingine mchawi ni vile tu hajasamehe hata kikosa kidoogo