Kwanini ZINAA ni dhambi?

Kwanini ZINAA ni dhambi?

Mkuu wewe ni mchawi au ulihadithiwa tu?
We unadhani ni kwa nini huwa wanahangaika saaaana kutafutia sababu watu ili wawaroge?

Hata wao hawataki dhambi ya kumuumiza mtu ambaye hajakukosea hata kidogo. Na anayerogwa kwa urahisi ni lazima awe na hatia 'afeel guilty' na aogope matokeo ya makosa yake.

So kwa picha nyingine mchawi ni vile tu hajasamehe hata kikosa kidoogo
 
Mwili ni kasha tu undani kabisa wa binadamu ni roho na hiyo ndio asili ya binadamu hivyo ata wewe mleta mada ni roho ndio maana ukifa mwili tunabaki nao ila kinachotoka ni roho

Tuje kwenye swali lako kwanini zinaa ni dhambi?

Unajua kwanini uchi wa mwanamke unaitwa lango la uzazi ? (Hii ni mada ya siku nyingine)

Lango kazi yake ni kupitisha vitu hivyo mwanamke na mwanaume wanavoshiriki tendo kiroho kuna vitu vinapitishwa kwenye hilo lango kuna vinavoingia kwa mwanamke na kunavotoka kwa mwanamke kuja kwa mwanaume (kiroho)

Inakuwa dhambi kuinusuru roho ya mja kuingiziwa roho nyingine chafu .
 
Kuzagamuana ni tendo la kibaiolojia na halijawahi kuwa baya or whatever you call it according to your believe
 
Zamani resources zilikuwa limited.
Kabla hata watu hawajagundua mambo ya dini (Im talking miaka 10, 000 huko kurudi nyuma)
Watu waliishi kwa kuwinda na kufuga.

Watu walikuwa wanaishi kwa makundi kama wamasai vile.
Wakagundua ili wasurvive inabidi wacontrol kuzaliana..
Maana mkizaliana sana mtakosa chakula cha kuwalisha watoto.
Ndio hapo njia mojawapo ya kucontrol population ilikuwa ni kufanya sex iwe dhambi.

Kwahyo Dini zimekuja zikakuta tayari jamii nyingi zina hii mindset.

Dini zikaichukua hii mindset na kuikomelea kwenye maandiko.
Sio kweli hata kidogo.....Zamani resource hazikuwa limited wala
 
Sio kweli hata kidogo.....Zamani resource hazikuwa limited wala
Kivipi?
Wewe saivi ukitaka chungwa unaamka unatembea mita 20 unañunua chungwa.
Enzi hizo kulikuwa hakuna Agriculture Yani hakuna kilimo wala ufugaji, kwahyo watu waliishi kwa kuwinda na kuokota matunda pori. Ndomaana watu wa kale walikuwa nomadic sana, hawakuishi sehemu moja Bali walikuwa watu wa kusafiri masafa wakitafuta chakula na maji.

Sasa katika hiyo hali ni ngumu kusustain population ya watu wengi kwa pamoja.

Hivi vitu unavyoviona leo kama vijiji, miji, civilization, nchi, mikoa etc. Ni matokeo ya agriculture na watu kuwa na uhakika wa chakula throughout the year.

Dunia haijawahi kuwa na watu wengi kama iliyo nao kwa Sasa tangu kuumbwa kwake
 
Back
Top Bottom