Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

Mkuu

Ulishawahi kujiuliza kwann mh ndugai anamuogopa CAG wa zamani (prof asad) ????

Au kwann jiwe anamuogopa prof asad???

Kisa zile dola milion kadhaa alipiga kule india Hospt na pia kafuja sana pesa za mfuko wa Bunge na CAG wa zamani aligoma kununuliwa
 
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.

Tusubiri makubwa zaidi?

Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Umjui Zitto ww hapo anatumika kujua idadi ya wangapi wanapinga teuzi ya bwana mkubwa sasa nenda kichwa kichwa km waliokuwa wamemuamini yule bwana wa Mtama...
 
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.

Tusubiri makubwa zaidi?

Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Zitto anamuogopa jamaa au ana wasiwasi na mchakato unaomwingiza Kichere Ofisini
 
Hahaha soma vizuri tu mkuu comments za baadhi ya watu hapo juu, unaweza kukuta wamekaa darasani na wanamiliki degree..

Ha ha ha watetezi wa CCM ndiyo shiiida hawataki kuukubali ukweli kuwa malaika toka chato amewadharau watanzania kwa miaka minne sasa kazi nzuri za profesa Assad zimezikwa rasmi sasa anaingia kwenye kazi za maelekezo toka juu pesa za umma zitapigwa na wachache kama ulivyokuwa utawala wa mabutu za zaire aliyejenga Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge kijijini kwao porini kama anavyofanya mtukufu sasa huko chato na CAG hawezi kwenda kukagua hesabu za chato Airport.
 
Kaweka zuzu ili amfichie madudu, all is all 2025 tutawafunga Dotto na nduguze, shenzi zao

Labda Doto ahame Nchi lakini yeye na kikundi chake 2026 wajiandae kuelekea segerea
 
Zitto anamuogopa jamaa au ana wasiwasi na mchakato unaomwingiza Kichere Ofisini

Vingi vinamtia mashaka Zito ikiwemo uzoefu wa kazi ya ukaguzi na pia uthubutu je? Kichere anao uthubutu wa kukagua hesabu za ofisini kwa ndungai? anao uthubutu wa kakagua hesabu kwa katibu mkuu kiongozi? Je? Hata akizuga kukagua hesabu za ununuzi wa Ndege atakuja na majawabu ya kweli? Hivyo ni mojawapo wa vitu vinavyompa wasiwasi Zito kabwe.
 
Siyo hofu wala nini bali zito kaona mbali kuwa mkaguzi mpya wa Serikali kateuliwa maalum kwa kazi moja kwenda kuficha ukweli kuisafisha ATCL kuwalinda kwenye Dili la ununuzi wa Ndege lenye ufisadi wa kutisha, atajidai kukagua hesabu zake kisha kuja na majibu ya kuishangaza Duniani kuwa wapo safi, CAG mpya hana jipya zaidi ya kwenda kuharalisha wizi mkubwa, nia Aibu kubwa
Kunywa sumu wewe minyoo
 
Labda Doto ahame Nchi lakini yeye na kikundi chake 2026 wajiandae kuelekea segerea
Mtaendelea kuota mpaka mwisho wa dunia! Mchukue nchi nyinyi 2026? Kumbe mnakubali 2020 hamuoni ndani?
 
Vingi vinamtia mashaka Zito ikiwemo uzoefu wa kazi ya ukaguzi na pia uthubutu je? Kichere anao uthubutu wa kukagua hesabu za ofisini kwa ndungai? anao uthubutu wa kakagua hesabu kwa katibu mkuu kiongozi? Je? Hata akizuga kukagua hesabu za ununuzi wa Ndege atakuja na majawabu ya kweli? Hivyo ni mojawapo wa vitu vinavyompa wasiwasi Zito kabwe.
ni Uongozi wa JpM unafanya kazi poa na mambo mengi yanaonekana ila kuna vitu vinawaangusha sana kama haya masuala ya uteuzi unaoingiliana na masuala ya kisheria au katiba ndio shida
 
Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini

State agent

Uliposema msikiti ndipo uliponiibua hata kuthubutu kujibu hii comment yako.
Msikiti ni sehemu ya kufanyia ibada kwa waumini wa dini ya kiislam, hoja yako ya kusema “
Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini”
Kidogo inaweza ibua hisia kwa waumini wa dini hiyo tafadhali kama huto jali itazame kwa mara ya pili hiyo comment nadhani utagundua madhaifu. Tujaribu kuficha hisia zetu kidogo hata kama tunatofautiana na wao tusiwaattack kwa jinsi hii kwani haina afya. Nawasilisha tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kunywa sumu wewe minyoo
Wewe mbweha bado unaendelea kuvuta Bangi ghetto kwa cyprian Musiba? au umehamia ghetto kwa Le mutuz? angalia usije wachanganya mimba upewe kwingine na kukuza ukakuzie kwingine
 
Kwa sababu Lao moja na Magufuli wote mafisadi watafilisi nchi
 
Mtaendelea kuota mpaka mwisho wa dunia! Mchukue nchi nyinyi 2026? Kumbe mnakubali 2020 hamuoni ndani?

Moshi wa Ruangwa umeenda kutolewa South korea na kuchukua pesa za uchakachuaji 2020 kwani matokeo mnayo mfuko mnasubiria kutangaza tu,
 
Wewe mbweha bado unaendelea kuvuta Bangi ghetto kwa cyprian Musiba? au umehamia ghetto kwa Le mutuz? angalia usije wachanganya mimba upewe kwingine na kukuza ukakuzie kwingine
Njoo nikupe mimba dada!
 
Kutesa kwa zamu Sasa ni zamu ya ACT wazalendo na Chadema kumuogopa CAG Kichere.Maana Profesa Assad alikuwa mshikaji wao akiwaachia tu wakijimwayamwaya na ruzuku wanavyotaka
Vipi anaye gawa mabilioni?? Na barafu wake Bashite????!
 
Mtaendelea kuota mpaka mwisho wa dunia! Mchukue nchi nyinyi 2026? Kumbe mnakubali 2020 hamuoni ndani?
Serikali za mitaa tu hamjafika hata asilimia hamsini ndio utajuwa Magufuli hana mtaji mwenyekiti zero kabisa hana ushawishi kabisa yaani hii imekuwa kipi of kizuri kabisa ccm ya Magufuli marehemu kabisa 2020 hapenyi hata kwa koleo
 
Back
Top Bottom