Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Usiwe zuzu wewe mataga! Uchambuzi wa ZZK anaanza saa 6 mchana na presser ya Freeman Mbowe ni saa 9 mchana! Mgongano uko wapi hapo, na bado hata kama vingefanyika sambamba ni rahisi kufuatilia vyote, moja live na nyingine kwenye platform nyingine!Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa....
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani Tanzania bado sana, tuwaachie CCM waendelee kututawala.
Mkuu mimi sioni tatizo.Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani Tanzania bado sana, tuwaachie CCM waendelee kututawala.
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani Tanzania bado sana, tuwaachie CCM waendelee kututawala.
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani Tanzania bado sana, tuwaachie CCM waendelee kututawala.
Mkuu kwani mpaja keo hujajua zitto ni nani? Rudisha kukbukumbu nyuma utagundua huyo ni afisa kipenyo.Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.