crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Jamani tunaelewa maana ya kulihutubia taifa au tunapachika tu. Kuongea na waandishi wa habari au press conference kwenu ina maana gani!!Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani Tanzania bado sana, tuwaachie CCM waendelee kututawala.