The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Kawaida hiyo kifupi mwanaume kwenye hii dunia ni mtumwa hasa mwanzo wa maisha hadi kufa kwake..ni mateso na hatakiwi kuonyesha kuwa anaumia..sadNi wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes.
Ukiangalia mahusiano mengi yamejengwa kwenye pesa ukitaka kuthibitisha ili check wanaume wastaafu wanayopitia baada ya kukosa vipato,ukiishiwa utakimbiwa akiwa na soko,akikosa soko pa kwenda Hana kwa sababu ya watoto na umri,utakufa kwa stress za kauli chafu dharau nk
Ndo maana wanaume wengine ukimbia majukumu na kuwa upinde coz uanaume sio lelemamaKawaida hiyo kifupi mwanaume kwenye hii dunia ni mtumwa hasa mwanzo wa maisha hadi kufa kwake..ni mateso na hatakiwi kuonyesha kuwa anaumia..sad
Badilikeni wanawakePoleni wanaume
Badilikeni wanawake
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai Au mikate yenu mnalia na visungura.Ngumu sana mkuu