kwann wasichana wengi utoa mimba wakati wameamua kuingia kwenye husiano

kwann wasichana wengi utoa mimba wakati wameamua kuingia kwenye husiano

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
ni kweli wasichana wengi utoa mimba wakati wapo kwenye huusino,bt wengi wanasema wanalinda penzi ni kweli
 
Kuna sababu nyingi, lakini inawezekana kabisa;

Wengi wanakuwa wamepata mimba za bahati mbaya na hivyo hutoa kwa kuwa hawajui itakuwaje baadaye.
Wengine ni wanafunzi wanaopgoa kufukuzwa shule au wazazi wao ni wakali
wengine wapenzi wao walitaka kuonja tu, sasa imetumbukia nyongo dada hana jinsi
wengine, bado wapo wapo......!
 
Inaweza kuwa kweli na kuna baadhi yawanaume ukimwambia una mimba yake anakukana na ugomvi unaanzia hapohapo so naona wengine huwa wanaamua kutoa bila kuwashirikisha ili kulinda uhusiano wao.
 
Ni research au katoa girlfriend wako tu uka generalise?
 
huyu mtu mada zake zimekaa kishamba kishamba,
kama unataka kutoa mimba we toa tu.
 
ndio,kwa walibakwa,
ila hata nikibakwa sitaitoa.
Cheusi ukiacha kubakwa nazumgumzia hapa watu walio kwenye mahusiano, Je msichana kwenda kutoa mimba kwa kigezo eti ni bahati mbaya wapi na wapi?? Maana naona humu kuna mtu amekomenti akasema eti bahati mbaya
 
Cheusi ukiacha kubakwa nazumgumzia hapa watu walio kwenye mahusiano, Je msichana kwenda kutoa mimba kwa kigezo eti ni bahati mbaya wapi na wapi?? Maana naona humu kuna mtu amekomenti akasema eti bahati mbaya

mm sion kama kuna sbb yeyote hapa dunian inayokubalika moyon mwangu kuhalalisha kutoa mimba,ukiachilia mbali medical reasons,sbb sometimes madaktari hujikuta wakitakiwa kuchagua kuuhifadhi uhai wa mama au wa mtoto na sheria za medical laws zinasema ikitokea hivi uhai wa mama ndo wakuhifadhiwa hence abortion.
Pia wengine huamua kutoa mimba sbb vipimo vimeonesha kuwa mtoto ana matatizo mf. ulemavu lkn mm naona huo ni unyama sbb huyu kiumbe anahaki yakuishi.
mm binafsi nikiwa kwenye mahusiano lkn siko tayar kupata ujauzito nitajilinda kwa nguvu zote nisiupate sbb nikiupata mipango yangu ya maisha itavurugika/simama sbb chochote kilichopo ktk prosess lazima nikisimame kuliko nikamtoa mtoto aliyewekwa tumbon mwangu na Mungu.
Mim pia siielewi mioyo ya wanaotoa mimba zao maana wapo hadi wamama walioolewa na wanatoa mimba.
Kama vile ambavyo tunajilinda kwa umakin tusipate ukimwi ndivyo hivyo hivyo tujilinde tusipate mimba ambazo hatuko tayari kuzibeba lkn kutoa mimba kwa sbb ya kwamba ni bahati mbaya sikubalian.
kutoa mimba ni mauaji na unyama.
 
Back
Top Bottom