Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna mimba za bahati mbaya???
Cheusi ukiacha kubakwa nazumgumzia hapa watu walio kwenye mahusiano, Je msichana kwenda kutoa mimba kwa kigezo eti ni bahati mbaya wapi na wapi?? Maana naona humu kuna mtu amekomenti akasema eti bahati mbayandio,kwa walibakwa,
ila hata nikibakwa sitaitoa.
Cheusi ukiacha kubakwa nazumgumzia hapa watu walio kwenye mahusiano, Je msichana kwenda kutoa mimba kwa kigezo eti ni bahati mbaya wapi na wapi?? Maana naona humu kuna mtu amekomenti akasema eti bahati mbaya